Namwambia Mungu

Namwambia Mungu

Kwako Mungu baba mlezi wa dunia na Mbingu.

Am broke Guy, dhaifu na mdhambi!

Najua mengi mazuri umenitendea zaidi hata Sasa unanifanyia mengi mazuri nashkuru kwa yoote.

Dua na Sala ni udhihirisho wa imani kwa matendo. Nami sitosita kuendelea kutimiza kwakua najua wewe ni msikivu na mwaminifu.

Mungu mlezi wangu hii ndio status/ hali yangu kwa Sasa

1. Spiritual - down
2. Financial - broke
3. Relationship - broke
4. Ideas - broke.

Najihisi kupoteza imani kwa Yale nayapitia nakose nguvu hata za kupiga magoti kusujudu kukulilia kutokana na mfululizo wa matukio magumu uliyoruhusu niyapitie. Niokoe kwa Hilo Mungu baba mlezi wangu.

Nilipoteza kazi, ukanipa biashara nayo ikafa Sasa Sina la kufanya na majukumu yamenielemea hata watoto ulionipa nashindwa kuwatunza.

Ukanipa Ndoa Nikaipenda ndoa yangu nayo ukaruhusu isambaratike japo nilikuomba ndoa yangu idumu kwakua sikutaka wanangu wakue na single parent Kama niliyoyapitia Mimi. Nimebaki mwenyewe na watoto tunamsubiria Mama yao atarudi lini. Ingilia Kati Baba

Ulinibariki nikawa mtu smart mwenye mawaZo very constructive and attractive, now days siko hivo Tena kwa Sababu Nina experience failure nyingi kuliko mafanikio kwakipindi kirefu Sasa. Naogopa hata kufanya maamuzi japo maisha ni maamuzi.

Najua maombi ni Siri, lakini nayaandika haapa ili kesho iwe ushuhuda kwamba nalikuita ukaniitikia, ukanifuta machozi na kuniinua Tena.
Katikati ya Giza Nene hili Bado Kuna sauti ndogo inaniambia Mimi ni mshindi, nami nimeamua kuisikiliza kwa makini nakuishikilia.

Ombi hili Baba Mungu liwaguse wote wanaopitia changamoto katika maisha yao!
Amin
Yerenia 29:11

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Wengi tunayapitia hayo unayotapitia.Ila itoshe tu kusema MUNGU atabaki kuwa MUNGU kwani yeye pekee ajua kwanini ameruhusu haya.Jina lake LIHIMIDIWE milele na milele.AMINA
 
Soma Isaya 45:2-3

Amen

Sala yako imefika mawinguni mkuu, imetuwakilisha vyema..
Tusubirie majibu
 
Wengi tunayapitia hayo unayotapitia.Ila itoshe tu kusema MUNGU atabaki kuwa MUNGU kwani yeye pekee ajua kwanini ameruhusu haya.Jina lake LIHIMIDIWE milele na milele.AMINA
Amina
 
Back
Top Bottom