Namwambia Mungu

Namwambia Mungu

Mungu akufanyie wepesi mkuu katika kila jambo.

Usikubali kushindwa anza upya na nguvu mpya ondo negative feelings zote jiandae kushinda kwa kila utakachoanza nacho.
 
Pole mkuu ,pia tunashukuru Kwa kumkumbusha Mungu atukumbuke tunaopitia magumu.Aisee maisha yako upsidedown sometimes unaweza kufuru.unajitahidi kutenda mema na kusaidia Sana watu at the end majanga mfululizo yanakupiga ,unamlilia Mungu why me.But hakuna namna nikumtegemea na kupigana ,Mana hakuna wa kubadili matokeo Kama sie yeye na sisi.
Ulichokisema ndio uhalisia kwa niliyoyapitia. Sina mganga Wala mnajimu zaidi ya Mungu mwenyezi na nnaimani atafanya
 
Hujamsoma vizuri.... Kwasababu anasemehe saana kuliko kuhukumu
Usidhani hali mbaya ya uchumi unayopitia ni yako peke yako! Nina muda tangu nimeporomoka na nimeomba sana anisaidie kumbe najilisha upepo

Hamna kitu nilikuwa na imani kukuzidi sema nimekuja gundua haya mambo usipokuwa makini unakufa na umasikini wako hivihivi!

Hizi dini ni project za watu
 
Mwenyewe haeleweki binafsi nimeshamwambie aje hataki nataka nadhani ni Hali yangu ya uchumi
Pole sana, badili mazingira ikiwezekana hata mkoa. Kama haeleweki fanya maamuzi magumu ili umsahau maazima....najua utaumia kwa muda ila with time utazoea na hutaumia tena. Huyo asiyeeleweka anaweza rudi ila akupatie mateso ya kila siku ....ila ukisonga mbele utaumia mara moja mbeleni utapoa.
Kuhusu watoto ni kweli unaumia lakini ukiumia hadi ukifa ndio utawalea?? So ni vyema ufanye maamuzi magumu ila yatakayofaa baadaye.
Kuhusu uchumi Mungu ndio mgawa riziki endelea kumtumaini atakuletea kwa wakati wake, kwa sasa usichague kazi hata ukuli kafanye usongeshe maisha huku ukipigana kutafuta kilicho bora.
Maisha ni mafupi kuyapoteza na maumivu na Majuto....amka jifute vumbi ikimbie hali yoyote inyokurudisha nyuma.
 
Ulimuita kutoka wapi?

Alifanya vitu gani?

Usije kua umejifanya kusalia vitu kumi vikafanikiwa vitu 8 kwa sababu ya circumstances za dunia ukaamua kumpa sifa huyo mtu wa kufikirika ukadhani upo sahihi

Kwanza tu kusalia vitu 10,vikafanikiwa vitu 8 inaonesha huyo mungu hayupo maana anafanyakazi kwa probability..yaani success rate yake ni 80%

Mungu anaefanya kazi kwa probability ni mpumbavu maana mi mwenyewe naweza msaidia mwanadamu all 10 requests at the rate of 100% success!

Unajidanganya tu
At least ungekua mwanasayansi ukajua mambo yanavyoenda na ukabuni kitu chako mwenyewe Kama alivyobuni Mungu ningalikua na wakati mgumu kukuelewesha. Kinyume na hapo Tia Nia moyoni mwako ajidhihirishe kwako umjue.

Kuhusu Nini kilitokea Mungu alinipa uwezo wakumponya mtu ambaye matibabu yake hayakuwezekana hospitalini na punde nilipomuita Mungu alijibu hapo Happ.
Na si Mara moja
 
Pole sana, badili mazingira ikiwezekana hata mkoa. Kama haeleweki fanya maamuzi magumu ili umsahau maazima....najua utaumia kwa muda ila with time utazoea na hutaumia tena. Huyo asiyeeleweka anaweza rudi ila akupatie mateso ya kila siku ....ila ukisonga mbele utaumia mara moja mbeleni utapoa.
Kuhusu watoto ni kweli unaumia lakini ukiumia hadi ukifa ndio utawalea?? So ni vyema ufanye maamuzi magumu ila yatakayofaa baadaye.
Kuhusu uchumi Mungu ndio mgawa riziki endelea kumtumaini atakuletea kwa wakati wake, kwa sasa usichague kazi hata ukuli kafanye usongeshe maisha huku ukipigana kutafuta kilicho bora.
Maisha ni mafupi kuyapoteza na maumivu na Majuto....amka jifute vumbi ikimbie hali yoyote inyokurudisha nyuma.
Ushauri mzuri huu naufanyia kazi
 
Usidhani hali mbaya ya uchumi unayopitia ni yako peke yako! Nina muda tangu nimeporomoka na nimeomba sana anisaidie kumbe najilisha upepo

Hamna kitu nilikuwa na imani kukuzidi sema nimekuja gundua haya mambo usipokuwa makini unakufa na umasikini wako hivihivi!

Hizi dini ni project za watu
Usifike huku. Mungu anahitaji subra na wajbu. Pole saana ndugu yangu
 
Kwako Mungu baba mlezi wa dunia na Mbingu.

Am broke Guy, dhaifu na mdhambi!

Najua mengi mazuri umenitendea zaidi hata Sasa unanifanyia mengi mazuri nashkuru kwa yoote.

Dua na Sala ni udhihirisho wa imani kwa matendo. Nami sitosita kuendelea kutimiza kwakua najua wewe ni msikivu na mwaminifu.

Mungu mlezi wangu hii ndio status/ hali yangu kwa Sasa

1. Spiritual - down
2. Financial - broke
3. Relationship - broke
4. Ideas - broke.

Najihisi kupoteza imani kwa Yale nayapitia nakose nguvu hata za kupiga magoti kusujudu kukulilia kutokana na mfululizo wa matukio magumu uliyoruhusu niyapitie. Niokoe kwa Hilo Mungu baba mlezi wangu.

Nilipoteza kazi, ukanipa biashara nayo ikafa Sasa Sina la kufanya na majukumu yamenielemea hata watoto ulionipa nashindwa kuwatunza.

Ukanipa Ndoa Nikaipenda ndoa yangu nayo ukaruhusu isambaratike japo nilikuomba ndoa yangu idumu kwakua sikutaka wanangu wakue na single parent Kama niliyoyapitia Mimi. Nimebaki mwenyewe na watoto tunamsubiria Mama yao atarudi lini. Ingilia Kati Baba

Ulinibariki nikawa mtu smart mwenye mawaZo very constructive and attractive, now days siko hivo Tena kwa Sababu Nina experience failure nyingi kuliko mafanikio kwakipindi kirefu Sasa. Naogopa hata kufanya maamuzi japo maisha ni maamuzi.

Najua maombi ni Siri, lakini nayaandika haapa ili kesho iwe ushuhuda kwamba nalikuita ukaniitikia, ukanifuta machozi na kuniinua Tena.
Katikati ya Giza Nene hili Bado Kuna sauti ndogo inaniambia Mimi ni mshindi, nami nimeamua kuisikiliza kwa makini nakuishikilia.

Ombi hili Baba Mungu liwaguse wote wanaopitia changamoto katika maisha yao!
Amin
Yaani Mungu anakuaje Baba Mlezi!??

Yaani Mungu akiwa Baba Mlezi wewe unaye BABA mwingine si ndiyo?

Naomba nikwambie-Badili mtizamo wako DHIDI ya Bwana Mungu wako..

Sala yako itakuwa hai..

Mungu alikujua wewe kabla hujatungwa Mimba...sasa huyo bado ni Mlezi?

Find yourself and pray again..

God Is and shall HE BE YOUR FATHER FOREVER!
 
Isaya 41: 21, Mungu anasema leta hoja zako zenye nguvu mbele yangu.
Hoja zako ni zipi? Ni kazi? Ni mke kurudi? Ni idea mpya? Ni nguvu ya kuomba tena kwa Mungu? Mshawishi Mungu kwa hoja nzito na uweke maombolezo kando
 
Ahsante kwa ushauri japo Nia yangu Haina tofauti na ulichomaanisha
 
Isaya 41: 21, Mungu anasema leta hoja zako zenye nguvu mbele yangu.
Hoja zako ni zipi? Ni kazi? Ni mke kurudi? Ni idea mpya? Ni nguvu ya kuomba tena kwa Mungu? Mshawishi Mungu kwa hoja nzito na uweke maombolezo kando
Hapa ndipo nimpendapo Mungu... Hallelujah!
 
Hivi Existence ya mwanadamu inategemea eti "kuvumbua kitu" pekee yake?

Briliance of a human inategemea "avumbue kitu" pekee yake tu?

Acha hizi upumbavu za kuweka maendeleo na ubora wa wanadamu kwenye box moja tu la "uvumbuzi"

Mwanadamu can be successful and useful kwa vitu chungu nzima,hiyo"uvumbuzi" ni usenge wa kuweka watu kwenye chungu kimoja!

Mungu hayupo,vitu wanafanya wanadamu,lazima kuwe na causes na effects,mengine ya kufikirika eti kuna kiumbe kimekaa mawinguni huko kinafanya vitu kwa remote na human beings ni useless ni usenge

Eti ulimponya mtu,nigga stop this nonsense

kadanganye watoto huko

Huyo mgonjwa alikua anaenda kupona wewe by accident ukajifanya kumuombea then ukaja kuchukua utukufu eti wewe ndio umemponyesha,acha usenge for once

Mungu alikupa uwezo,alikukabidhi lini?Ulikutana nae wapi?Au ni ubongo wako unakuletea habari za kufikirika?
Mungu na akusamehe maana hujui ulitendalo
 
Mnh.... What a Coicedence....!!!! Mkuu Kweli Duniani wawili wawili... Na Mimi natembea katika Njia hiyo hiyo.... Tafadhali tusife Moyo. Leo Asubuhi nimejitazama kwenye Kioo nikajiambia Lazima Lengo la kuja Duniani Litimie.....!!!! Tutavuka... Never Stop The Race.....!!!!

Back
Top Bottom