Amen kwa utukufu was MunguTumekuwa hapo na sasa tupo mbali na Hapo, Mungu ameshakutoa hapo, piga hatua sasa za Imani na utoke kwa Jina la Yesu!
Jitume mkuu... Huyo unayemdhania atakupotezea mudaHata baba anaweza akanunua kila kitu akawwka ndani na Bado watoto wakafa njaa wasipoamua kupika ama kikapikwa wasile.
Ndivo ilivo kwa Mungu anaona yote lakini anataka utayari wetu was kuyapata, pia kufuata utaratibu alioweka.
Ndo awali nilisema Mimi ni dhaifu kwasababu najua yawezekana kuna mahali nilikosea ndo Mana napitia haya.
Kwakua yeye ni mwenye huruma amuitaye humuutikia
Kukufuru ni kufanyaje?Usikufuru ndugu yangu
Jitume mkuu... Huyo unayemdhania atakupotezea muda
Kukufuru ni kukana uwepo na uwezo Mungu. Kumbuka kila kitu kina chanzo vitu havikutokea tuuJitume mkuu... Huyo unayemdhania atakupotezea muda
Kukufuru ni kufanyaje?
Nalo ni tatiZo bro Seema Nini pingine Mungu anakuepusha na kitu vuta subira ndoa ni uzima au mautiAah aah maisha magumu ktk nyanja nyingi sana.
Me kakipato ninako kidogo but kila nikianzisha relationship natendwa na hawa viumbe. Sasa sina hata ka demu yani,natia hurumaaa.Uwezo wa kukahudumia ninao but sipatu ili nituliee aaaargh
Kila la kheri katika kungojea kisichokuwepoSi maanishi kukaa nakusubiria Napambana nikingojea kibali chake katika mafanikio yangu
Mungu akuangazie ufahamu katka upeo wakoKila la kheri katika kungojea kisichokuwepo
Ukisema kukana maanae yake namjua alafu namkana! Mimi simjui na wala maelezo yanayomuelezea hayapatani na akiliKukufuru ni kukana uwepo na uwezo Mungu. Kumbuka kila kitu kina chanzo vitu havikutokea tuu
Mkuu yupo kila mahali yeye ni moderator mkuu wa all forumsMungu yupo JF? Mwenye anaijua ID yake nisaidieni kumtag niijue.
Kama yupo na afanye hivyo... Maswali niliyo nayo ni mengi sana kumhusuMungu akuangazie ufahamu katka upeo wako
Ukisema kukana maanae yake namjua alafu namkana! Mimi simjui na wala maelezo yanayomuelezea hayapatani na akili
Pia unaposema kila kitu kina chanzo chake itabidi yeye pia awe na chanzo chake.... Haiwezekani yeye mwerevu kuliko sisi asiwe na chanzo
Nimesoma sana ndio maana nakwambia habari zake hazipatani na akili.Soma vitabu vinavyo mhusu utamjua
Kama ni ombi lako Mungu na akutendeeKama yupo na afanye hivyo... Maswali niliyo nayo ni mengi sana kumhusu
AmenKwako Mungu baba mlezi wa dunia na Mbingu.
Am broke Guy, dhaifu na mdhambi!
Najua mengi mazuri umenitendea zaidi hata Sasa unanifanyia mengi mazuri nashkuru kwa yoote.
Dua na Sala ni udhihirisho wa imani kwa matendo. Nami sitosita kuendelea kutimiza kwakua najua wewe ni msikivu na mwaminifu.
Mungu mlezi wangu hii ndio status/ hali yangu kwa Sasa
1. Spiritual - down
2. Financial - broke
3. Relationship - broke
4. Ideas - broke.
Najihisi kupoteza imani kwa Yale nayapitia nakose nguvu hata za kupiga magoti kusujudu kukulilia kutokana na mfululizo wa matukio magumu uliyoruhusu niyapitie. Niokoe kwa Hilo Mungu baba mlezi wangu.
Nilipoteza kazi, ukanipa biashara nayo ikafa Sasa Sina la kufanya na majukumu yamenielemea hata watoto ulionipa nashindwa kuwatunza.
Ukanipa Ndoa Nikaipenda ndoa yangu nayo ukaruhusu isambaratike japo nilikuomba ndoa yangu idumu kwakua sikutaka wanangu wakue na single parent Kama niliyoyapitia Mimi. Nimebaki mwenyewe na watoto tunamsubiria Mama yao atarudi lini. Ingilia Kati Baba
Ulinibariki nikawa mtu smart mwenye mawaZo very constructive and attractive, now days siko hivo Tena kwa Sababu Nina experience failure nyingi kuliko mafanikio kwakipindi kirefu Sasa. Naogopa hata kufanya maamuzi japo maisha ni maamuzi.
Najua maombi ni Siri, lakini nayaandika haapa ili kesho iwe ushuhuda kwamba nalikuita ukaniitikia, ukanifuta machozi na kuniinua Tena.
Katikati ya Giza Nene hili Bado Kuna sauti ndogo inaniambia Mimi ni mshindi, nami nimeamua kuisikiliza kwa makini nakuishikilia.
Ombi hili Baba Mungu liwaguse wote wanaopitia changamoto katika maisha yao!
Amin
Mwenyewe haeleweki binafsi nimeshamwambie aje hataki nataka nadhani ni Hali yangu ya uchumiPole.sana mkuu, Mapito tumeumbiwa binadamu ndugu, lakini kumbuka unapopita Kote huku hauko pekeyako.
Lakini swala la ku divorce kuna mtu alikushauri kwamba kama bado unahisi unampenda mkeo na hauko tayari kubeba maumivu basi usimuache
Kuna mambo binadamu walikwama nikamuita akafanya so he is reallyUlimuona wapi au moyo wako na hisia zinakutuma?
Moyo na hisia zako ni whims na matamanio,sio reality!
Rationality ni mwanadamu kuishi constantly solving reality,reality ni vitu provable,kama sio provable ni just a dream,fikiriko tu!
Vitu vya kufikirika ili ujisikie raha ni kujidanganya tu,unakwepa reality!
Hujamsoma vizuri.... Kwasababu anasemehe saana kuliko kuhukumuNimesoma sana ndio maana nakwambia habari zake hazipatani na akili.
Mara nyingi amekuwa wa vitisho kuliko hata madikteta wa dunia