Namwachia nyumba mama mkwe

Kwa haraka na kutumia maelezo yako..huyu mama ana mapepo yanamsumbua... na kijana wake amekosa sifa za kuitwa Baba wa nyumba..hivyo usimtegemee kama ataweza kutatua hizo issues...

Kikubwa ujue wewe ndiye mwenye mji..inabidi umuheshimu mama lakini siyo kwa nidhamu ya woga..Kupeana ukweli, kwa lugha ya heshima ni njia sahihi..

Lakini kabla ya yote lazima umwonyeshe mama kuwa hata wewe unao wazazi..kama wazazi wako wako hai waite waje (kwa gharama yeyote) na itakuwa vizuri ukaongea yote "black and white" mbele ya wazazi wako na huyo mama..bila kuogopa what is next... Najua wazazi wako hawatavumilia lugha mbaya kama huyo mama ataanza..na hivyo itakusidia wewe kukaa kimya na remote control kikao..

All in all, lazima ufanye kitu ASAP... binafsi sikushauri kukimbia nyumba kwa sababu ya mtu mmoja mwenye mapepo yanayomsumbua..Wewe hapo ni kwako na mama ni mgeni..Apewe heshima zake lakini sio kwa woga.. kama vidonge apewe..anywe, apone mapepo!
 
Saa nyingine hata nyie wake zetu mna matatizo bana, hivyo mi sikuamini 100% kwamba mama mkwe ndo mbaya. Jitoe kwanza boriti jichoni mwako.
<br /> <br / ni kweli kn wanawake wabaya na kuna wakwe wabaya ila kwa hili inaonyesha wazi kuwa hy mama mkwe ndo mbaya tn ni nyoka sbb ana mume wake kamwacha pekeyake anajifunika ngumi yy anakula bata na kumnanga mkwewake dawa ya huyu mama ni KUMWEKEA UPUPU KWENYE MAJI YA KUOGA,CHUMBANI ANAKOLALA, KITANDANI NA KWENYE NGUO ZAKE ZOTE WALAH ATAONDOKA AKIKOMAA KM BABA MKWE ANANYUMBA MNAYOWEZA KWENDA KUISH KWA MUDA MUAGENI KUWA MNAENDA KUKAA NA BABA MKWE MKIKAA HK CK 2, 3 ATAWAFATA ikishindikana rudi jf nitakupa mbinu mpya
 
hivi unafikiri kati ya wewe na mwanae ni nani bora??kama unaona huwezi kuishi naye chapa mwendo,yeye ndiye aliyekuzalia huyo anaye kukunja na kukupindua kitandani kama samaki,wanawake wa siku hizi mnajifanya mnaona mbali,mtajijuuuuuuu
 
Huyo mama ni kiboko, si aende kule kwa kaka mkubwa akamlee baada ya kuvunja ndoa yake?yani wamama wengine wanakuwa kama wamepagawa hivi, huo wote ni ulafi anaona kama unafaidi sana vitu vya mwanawe, wakati mwingine hawa wamama jamani
 
sometimes wamamawakwe ni wabaya na sometimes wake walioolewa ni wabaya lbd nikuulize 1.NI MUDA GANI TOKA UOLEWE? 2.HUKO MUMEO ALIKOKWENDA HUWEZ KWENDA UKAISH NAYE? 3.HUJAWAH KUMKOSEA MAMAMKWE?KM ULIWAH MWOMBE MSAMAHA HARAKA. 4.ULISHAWAH KUKAA NA KUMUULIZA KWA UPENDO KW KWANINI HAKUPENDI? PAMOJA NA KUWA IMANI YK IMEAMINI KW MAMA MKWE NI MBAYA KUTOKANA NA ULIUYOELEZEWA LKN NAKUSHAUR JIPIME UPYA KM WW HUJAMKOSEA NA UMPIME MAMA MKWE KM ANAMAKOSA. MTOTO KWA MAMA HAKUI MSAMEHE NA UTAFUTE SULUHISHO MBADALA.
 
Mimi ni mwanafunzi so siijui ndoa sasa ushauri wangu usijaribu kukimbia nyumba yako hata siku 1, piga mkwara mzito, then mtupie vilago vyake nje heri lawama kuliko fedhea.
 
yaani unataka kumpa ushindi wa mezani? bidada inabidi tukufunde upyaa! dawa ya mama mkwe mgomvi ni ku-ignore chokochoko zake with a big smile on ur face! hebu mchukulie kama mwanao! hivi mwanao akikutapikia unapata stress?akifanya kitu ww smile tu,na sio lazma umuambie makosa yake. muoneshe ww ni mwanamke wa shoka,na umeijenga nyumba yako juu ya mwamba. usigombane nae wala kutukanana nae,atachoka akuache mwenyewe! keep urself busy,ukiona anakukera angalia tv! kha,tubadilishane nimpe shit hadi ajione alivyo wa juzi,lmao!
 
yaani unataka kumpa ushindi wa mezani? bidada inabidi tukufunde upyaa! dawa ya mama mkwe mgomvi ni ku-ignore chokochoko zake with a big smile on ur face! hebu mchukulie kama mwanao! hivi mwanao akikutapikia unapata stress?akifanya kitu ww smile tu,na sio lazma umuambie makosa yake. muoneshe ww ni mwanamke wa shoka,na umeijenga nyumba yako juu ya mwamba. usigombane nae wala kutukanana nae,atachoka akuache mwenyewe! keep urself busy,ukiona anakukera angalia tv! kha,tubadilishane nimpe shit hadi ajione alivyo wa juzi,lmao!

Una visa wewe!!
 
ndio maana namshukuru late mzee wangu kukataa mahari
dada kwenu hujafukuzwa, nenda kapumzike nyumbani kama wazee wako wapo hai
hayo maisha yashapitwa na wakati
hilo limamamkwe kama kashindwana na mume wake sio kigezo cha kuja kukuharibia familia yako

na wewe kuwa na msimamo, mitishamba anatakiwa akamchemshie mume wake SIO WEWE
jitahidi kuwa na msimamo, hilo limama lipo kwenye siku za mwisho za maisha yake
isiwe kigezo cha kuja kuivuruga familia yako

kwahali uliyo nayo wewe nenda kwenu, naamini wazee wako watakutunza mpaka Mume wako arudi,
 
Hamjambo wana jamvi. Mwenzenu namwachia mama mkwe nyumba aishi na mwanae. Ni wiki ya 3 haongei na mimi anapika kwake. Kibaya alichemsha mitishamba ninywe na house girl hakutoa maelezo tukagoma. Anaondoka mchana kurudi usiku. Mume wangu hayupo hadi dec, hali ni tete. Na anamuogopa mamake sana. Hatak kurud kwa mumewe, ndgu wamechoka vikao. Kesha sambaratisha ndoa ya mtoto wake mkubwa anaprefer wanawake wa kabila lake hata wajukuu anawabagua. Nisaidien wandugu na hii hali yangu.
Ukiondoka na hiyo mimba utaipeleka kwa nani? Nakushauri usiondoke na mimba ya watu tafadhali.
 
&lt;br /&gt; &lt;br / ni kweli kn wanawake wabaya na kuna wakwe wabaya ila kwa hili inaonyesha wazi kuwa hy mama mkwe ndo mbaya tn ni nyoka sbb ana mume wake kamwacha pekeyake anajifunika ngumi yy anakula bata na kumnanga mkwewake dawa ya huyu mama ni KUMWEKEA UPUPU KWENYE MAJI YA KUOGA,CHUMBANI ANAKOLALA, KITANDANI NA KWENYE NGUO ZAKE ZOTE WALAH ATAONDOKA AKIKOMAA KM BABA MKWE ANANYUMBA MNAYOWEZA KWENDA KUISH KWA MUDA MUAGENI KUWA MNAENDA KUKAA NA BABA MKWE MKIKAA HK CK 2, 3 ATAWAFATA ikishindikana rudi jf nitakupa mbinu mpya
<br /> <br / he! We umeoa/umeolewa?ulipitia jeshini?
 
Mapenzi yameingiliwa na kidudu mtu! Lazima Mwanaume utenganishe Mapenzi ya Mkeo na pia Mapenzi ya mama! mama atabaki kuwa maama siku zote mke mnaweza hata kesho kuachana ila mama ni ngumu mimi nadhani mama mwenye busara hawezi hata kidogo kuvuruga ndoa ya mwanae inabidi hata wewe mwanamke ujiangalie mapungufu yako pia! sasa mwanao asipomskiliza mama yake amsikilize nani? cha msingi kama wazazi wana uwezo na wanajitosheleza basi busara itumike mama mkwe arudi kwake au hata kama ni msaada mtamtumia akiwa kwake siyo tena hapo kwenu! jambo jingine usiingize ndg katika mapenzi yenu na mmme wako kwani wakati mnachumbiana huyo mama mkwe hakuwepo ni nyinyi mliokuwa mnadanaganyana huko mlikokuwa mnakutana kwa hiyo mama ndoa ni yako wala si ya mama mkwe cha msingi na cha sekondari tumia busara na kuwa mvumilivu hayo ndo majaribu ya ndoa kama utaona mama mkwa akae aendelee kufaidi basi ni hayo tu!
 
............pole sana, inaelekea wewe mpole sana. Dawa ya mama mkwe kama huyo ni kuwa mjeuri yaani unafanya mambo yako kama vile humuoni. Na ukiona anakufuata fuata sana unampa ukweli yaani kuwa kichwa ngumu flani hivi. Kwa nini ukimbie nyumba yako, yeye ndio anatakiwa kukimbia hapo.
 
We mdada toka lini shetani anaachiwa nyumba, yaani unataka kumruhusu abomoe nyumba yako wakati unamjua ni shetani, komaa nae aondoke yeye nyumba yako ipone, chamsingi mumeo pia hawezi saidia kwani huyo mama ni mchawi na ana roho za kishetani, kimsingi angalia cna kama mume wako hanatabia hizo za mama yake , bac anwezakuwa amefungwa kiufahamu iliashindwe kutoa maamuzi, omba watumishi wa MUNGU wa kweli wakusaidie ni kazi kama ya cku tatu tu ataachia mwenyewe, pia mwombee mumeo afunguliwe kwani pia anaweza kuwa kifungoni

Nakuhakikishia na kama MUNGU aishivyo, watu wa YEHOVA wakimufungia kazi cku tatu tu kwisha kazi na hatarudi kamwe, iliijulikane kuwa MUNGU NIMKUU NA UFALME WAKE HAUSHINDWI. Pia nawewe jifunze kupambana.
 
tena bora umekataa kunywa hiyo mitshamba bi mkubwa make inaonyesha kabisa kama sio kufa wewe basi mimba yako ingetoka {jokes}

pole sana esp
 
hivi unafikiri kati ya wewe na mwanae ni nani bora??kama unaona huwezi kuishi naye chapa mwendo,yeye ndiye aliyekuzalia huyo anaye kukunja na kukupindua kitandani kama samaki,wanawake wa siku hizi mnajifanya mnaona mbali,mtajijuuuuuuu
<br />
<br />
mmhh! Umeelewa haya malalamiko??
 
Na mimi nakubali na ulichosema obseva. Nina dada yangu ambae alipitia similar experience na alipambana nayo mpaka Mungu alipomchukua mama mkwe wake. Kwa sasa yeye na mumewe hawana tatizo tena. Tofauti ni kuwa yeye mama mkwe wake alikuwa kijijini na wala hakuwa na time ya kuja town kwani mwanae alishamjengea bonge la house tena kabla hata hawajajenga nyumba ya familia.

Huyu mama mkwe wa dada yangu nae alikuwa na tabia ya kutuma wajukuu zake dar kuleta mitishamba na kuweka kwenye chakula cha familia ya dadangu kwa siri. Kwa kuwa dadangu ni mtu wa sala alikuja kuwabamba and from there akawapiga marufuku kupika nyumbani kwake na akawa anawakagua wakitoka kijijini ili kuona kama wamekuja na dawa. Wao walisema eti ni dawa za kupalilia mapenzi kati ya dadangu na mumewe. Akawahoji wanafanya kwa idhini ya nani na nani kawambia kuwa wana matatizo. In short dada yangu ana busara sana ali deal nao wenyewe wala hakumwambia mumewe kuwa ndugu zako wachawi maana ingeharibu kabisa mapenzi yao na asingemwamini kwani no matter what bado ni ndugu zake.

Kwa kifupi nataka ufahamu kuwa hata mumeo inawezekana kabisa mama yake kamroga ili amsikilize yeye. Sasa kwa kuwa uchawi ni kazi ya watu wasio na imani na wasio na elimu, nakushauri usali sana na udhibiti uwezekano wa kuwekewa uchafu kwenye chakula chenu.

Yani mimi shemeji yangu ni professor lakini ilifika kipindi hata fee za watoto alikuwa hatoi na si kwamba ana nyumba ndogo; la asha ela yake yooote anapeleka kwa mama yake kijijini ili ikasomeshe ukoo maana dada zake wote hali zao mbaya na wana watoto lukuki. Dada yangu alikuwa anaumia sana kwa kuona mmewe ana prefer ndugu zake than his own kids;ila hilo lilimpa akili kwani ninavyoandika hivi dadangu amekuwa na pesa kuliko huyo mumewe professor na mumewe anatia adabu sasa hivi. Ila napenda ujue kuwa hata mumeo anaweza kulogwa na ndugu zake kama ni washirikina. Mshirikishe Mungu dada usikimbie nyumba yako sababu ya mama mkwe pambana kumsaidia mumeo kichwa yake haitakuwa sawa.

Through my sis experience nilikuja kugundua kuwa kuna wamama wanaloga watoto wao wa kiume wakihofia kuwa wasipofanya hivyo watakosa misaada. Na si kuwa ni ukoo wa kichawi ila ni washirikina kwa maana kuwa wanaenda kwa waganga kutafuta huo uchafu.
We mdada toka lini shetani anaachiwa nyumba, yaani unataka kumruhusu abomoe nyumba yako wakati unamjua ni shetani, komaa nae aondoke yeye nyumba yako ipone, chamsingi mumeo pia hawezi saidia kwani huyo mama ni mchawi na ana roho za kishetani, kimsingi angalia cna kama mume wako hanatabia hizo za mama yake , bac anwezakuwa amefungwa kiufahamu iliashindwe kutoa maamuzi, omba watumishi wa MUNGU wa kweli wakusaidie ni kazi kama ya cku tatu tu ataachia mwenyewe, pia mwombee mumeo afunguliwe kwani pia anaweza kuwa kifungoni

Nakuhakikishia na kama MUNGU aishivyo, watu wa YEHOVA wakimufungia kazi cku tatu tu kwisha kazi na hatarudi kamwe, iliijulikane kuwa MUNGU NIMKUU NA UFALME WAKE HAUSHINDWI. Pia nawewe jifunze kupambana.
 
Back
Top Bottom