Namwachia nyumba mama mkwe

.....mwachie nyumba,kwani huna kwenu?nenda mpk mmeo arudi,atwapa hata sumu huyo
 
Pole sana, jaribu kuwa busy uchelewe kurudi ikiwezekana usile tena kwako, ni uamuzi mgumu ila usipoangalia atakulisha vitu vya ajabu udhulike, fanya hivyo mpaka mumeo arudi mlijadiri hili swala.
 
Dah ! Hiyo ni nyumba y a kwako na mumeo na siyo ya mama mkwe ebu wanawake tusimame tuwe imara yeye ndioa ondoke aende kwake he is yours husband and not hers( maam mkwe ) .Unajua sisi wana wanawake tunaumizana sana hv huyu bi mkubwa mamkwe alifanyiwa hivyo ???? yana mi ni mwanamke lakini nakiri tunaroho za shetani ajabu! unalikuta jitu linanuia kabisa kuharibu ndoa ya mwenzake..............Stupid
 
Back
Top Bottom