MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
MwanajamiiOne, hivi ndo napenda kusikia kutoka kwako. Sio kuwa victim wakati wote. Kupanga ni kuchagua. Kwa kweli hadi mwaka huu uishe, utakuwa mwali wetu umeiva. I'm proud if u
Mtoa mada, unamuachia hgeli juu ya wasiwasi. Utawapunja na wa ofisini, ama huko wasiwasi hujapata? Ungeandika last will uwaachie kwa percentage wahasimu wote, kule bar anakokunywa kuna wahudumu, duka anakoshop, ofisini, na uweke sehemu ya 'na kadhalika' just in case manake surprise hazikosekani
I am proud of you walimu wangu King'asti, wewe, nyamayao, kaunga, nyumba kubwa, AshaDii na JF crew nzima mmeninoa kisawa sawa. Na Bahati nzuri na mwandani naye ni mwalimu tosha yaani Am so proud of you guys.! Nilikuwa wapi muda wote?