Namwacha Mchumba wangu kwa sababu ya SIMU!

Namwacha Mchumba wangu kwa sababu ya SIMU!

kwa stail hiyo kaka angu utaacha sn kuwa mvumilivu ucpende kususa yan cm ndo ikufanye uhairishe kila ki2 kwanza ndo mana ikaitwa cm ya mkononi yan kila m2 ana miliki yk acha kujipa presha na v2 vidogo je ungefumania ndo ingekuaje? ila pole.
 
Yote tunayokushauri ni nyongeza tu kwani wewe ndiwe ujuaye jambo hilo kwa undani. Nakushauri ufuate ushauri wa moyo wako ili uishi stress free life. Maisha ni uamuzi, ishi upendavyo ila mtangulize MUNGU.
 
Mmh, huo umri ukishafika na wenyewe una changamoto za hali ya juu sana. Maana unatamani upate mke lakini kila unayempata anakuwa ni magumashi. Hakuna kipindi kigumu kama hicho kwa mwanaume. Wakati walipokuwa wapo tele, hukuwa na mpango wa kuoa, unapofika wakati sasa unataka kuoa, wanaopatikana wote ni manyoka. Mbona utakoma kulinga? Mwisho wa siku utajikuta unaokota chochote kinachoonekana barabarani ili angalau maisha yaendelee. That is how it works.

Mkuu hapa umeongea kiutu uzima zaidi'kwa kweli kuna hasara na faida kwenye kuchelewa kuoa au kuolewa!dunia bana!
 
Ushaidi wa mazingira unaonesha hapo mnamilikiwa zaidi ya wawili, kama kweli ulikuwa na nia ya kuoa futa hilo wazo haraka lkn kama unataka kumega tu endelea ukitosheka omba msaada kwenye tuta. Mi ili kujipunguzia presha uwa sigusi simu ya mwenzangu japo uwa anaiacha popote lkn ikiita nampelekea naye ameiga mfumo wangu hanipokelei labda aone anayenigipia ni family member ambaye wanaweza kuongea bila tatizo. Kwa mfumo huu tunaishi kwa amani sana.
 
Trust me bra you will Definitely fall in love again halafu utaumizwa tena halafu utajuta tena na kujiapiza but soon or later u will repeat the same mistake mwishoni kabisa utampata wako then you will look back n regret what u r telling us now
kamwe huwezi kuyakimbia mapenzi kwakuwa dunia inaendeshwa na cash na mapenzi! usiidhulumu nafsi yako time will heal your wounds
 
Mambo ya kutiana BP hayo,mie wala staki hata kuiona napenda kushi bado...
 
Mambo ya mduara (dunia) mi nikitembea na mwanamke anashindwa kuniacha nashindwa kujielewa, japo nawambia
nina Mtu mwingine , lakini wanashindwa kunielewa
 
Kwani mkuu ulishawahi kusoma hiyo kadi ya gari yake ipo kwa jina la nani?
In short, mwenye gari ndo mwenye full access.
uyo jamaa ana moyo kwenda kulala kwa mwanamke?du mi usingizi usingekuja
 
Mh! pole sana Episodes , Mungu atakupa wa kwako, inawezekana Muda bado subiri kidogo upate mke mwema mwenye mapenzi na wewe.
 
.....mlichogombania ni kukosa uaminifu. Yeye anakasirika kwanini humuamini, na wewe umekasirika kwanini anaficha simu. Kwenye maisha ya pamoja 'vijimambo' kama hivi inabidi saa nyingine uvipuuzie na kuvipotezea tu. Utayempata mpya huenda naye akawa anaficha ficha vingine...

Utaacha wangapi?


Nimegundua wanawake sio viumbe wazuri hata kidogo,nina umri wa miaka 36 na mchumba wangu ana umri wa miaka 34,tumekutana miezi minne iliyopita na uhusiano wetu ulikuwa mzuri kwani nilimwamini na kwa kweli ana uwezo kunizidi,mtakumbuka miezi ya hapo nyuma nilileta mada hii hapa,ilikuwa ni true story kabisa
kitu kimoja ambacho huyu dada amekuwa akinisumbua nacho ni simu zake mbili za mkononi,huko nyumba tumewahi kugombana mara kadhaa kwa ajili ya simu,yaani anazificha na hataki kabisa mimi nizishike japokuwa kila simu ina password
jana usiku nililala kwake lakini asubuhi nilipoamka nikagundua simu zake hazipo hapo chumbani kwake,nikamuuliza simu zako ziko wapi?
akachukua begi lake la mkononi na ku search ndani yake hakuna kitu,halafu akawa kama ameshtuka na kusema nilizisahau kwenye gari jana jioni,nikachukua fungua za gari na kwenda kuzichukua lakini sikuona kitu
nilipomuuliza zaidi akawa mkali na kuniwakia eti simwamini kwa sababu ya simu,kilichonishangaza ni kwa nini awe mkali kuulizwa habari ya simu??niliamua kuondoka asubuhi ile ilikuwa saa kumi na moja na kuchapa yeboyebo zangu kurudi kwangu
nimeamua kumwacha kwa sababu japo nilishaanza kumwamini lakini trust yangu imeuwawa na kitendo cha yeye kuficha sana simu
kwani hizo simu zina nini cha siri??nilikuwa nataka tufunge ndoa kabisa mwaka huu lakini kwa mpango huo nitakaa alone milele hapa duniani
bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mwanamke mwenye siri
this is true story!!!!
 
tabia ya mtu ni ngumu kubadilika if hajajituma kubadilika no matter age aliyonayo..kuna wanawake/wanaume watu wazima na mvi zao lakini bado vicheche
 
Cm nikila kitu ukitaka kumjua mtu vizuri ufanikiwe kupata cm yake utamjua vzr mno mpaka guest gani room no ngapi ana kiasi gani chapesa kapiga dill ngapi na asikudanganye mtu asilimia kubwa ya maisha ya binadamu yametawaliwa na mapenzi asipompenda mkewe atampenda kimada wa nje. So kuna siri nyingi mno ambazo wanadamu huwaficha wapenzi wao kitu ambacho siri hizo zimeamia kwenye cm shika cm ya mpenzi wako ufanikiwe kuiperuzi vzr kama si mtu wa kufuta futa vtu utagundua mengi mno mengine hukuwahi kuwaza kama anayo ndio maana huyo mpnz wako amekua mkali na cm yake alafu kaka jitu la miaka 34 unategemea alikua yupo tu anakusubiri ww au upo peke yako kweli ndugu yangu tena uhusiano wa miezi minne na ndoa juu wee kaka acha utani na hisia zako ndugu yangu utalia kilio cha mbwa mdomo juu
 
naumia sana shida tunakutana na wanawake na wanaume waliokwisha kuchakachuliwa au kuachwa bila kutegemea au wale walioko katika uhusiano na wanaume/ke wengi/kupangana folen kama magari sheli yanayosubir mafuta...ivyo kuacha sio suluhu coz uwez kuta ambaye anakasoroo kaa mulekebisheeeee tu.....
 
Ulimpenda kwa kumtamani , unatakiwa umuombe MUNGU akupe mke , vinginevyo utapiga Kwata sana........!
kwa hiyo makanisani watu wanapendena bila kutamaniana......lazima utamani
 
una miaka 36 hujaoa, ana miaka 34 hajaolewa. Hapo peke yake ni tatizo kwa wote wawili.
Naanza na wewe episodes.
inaonyesha wewe chagua chagua sana ndio maana mpaka leo hujapata unayeona anakufaa. kumbuka kua mapenzi ni kuvumiliana na ku sacrifice.
kwa bidada 34 bila mume.
inaelekea naye huyu pia ni msururu wa wababa hivyo kuchagua kashindwa, basi kabakia "labda huyu anafaa, labda yule anafaa" miaka inaenda, umri nao unamchukua. Wewe ulitaka uoe mwanamke wa miaka 34 upelekane nae wapi wakati kakubuhu huyo, hafai kuitwa mke ila nungayembe mzoefu.
Mungu kakuepushia. muombe mwenyezi mungu atakupa mke mzuri, usikate tamaa, penye uhai maisha bado yapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom