Namwacha Mchumba wangu kwa sababu ya SIMU!

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,443
Nimegundua wanawake sio viumbe wazuri hata kidogo,nina umri wa miaka 36 na mchumba wangu ana umri wa miaka 34,tumekutana miezi minne iliyopita na uhusiano wetu ulikuwa mzuri kwani nilimwamini na kwa kweli ana uwezo kunizidi,mtakumbuka miezi ya hapo nyuma nilileta mada hii hapa,ilikuwa ni true story kabisa
kitu kimoja ambacho huyu dada amekuwa akinisumbua nacho ni simu zake mbili za mkononi,huko nyumba tumewahi kugombana mara kadhaa kwa ajili ya simu,yaani anazificha na hataki kabisa mimi nizishike japokuwa kila simu ina password
jana usiku nililala kwake lakini asubuhi nilipoamka nikagundua simu zake hazipo hapo chumbani kwake,nikamuuliza simu zako ziko wapi?
akachukua begi lake la mkononi na ku search ndani yake hakuna kitu,halafu akawa kama ameshtuka na kusema nilizisahau kwenye gari jana jioni,nikachukua fungua za gari na kwenda kuzichukua lakini sikuona kitu
nilipomuuliza zaidi akawa mkali na kuniwakia eti simwamini kwa sababu ya simu,kilichonishangaza ni kwa nini awe mkali kuulizwa habari ya simu??niliamua kuondoka asubuhi ile ilikuwa saa kumi na moja na kuchapa yeboyebo zangu kurudi kwangu
nimeamua kumwacha kwa sababu japo nilishaanza kumwamini lakini trust yangu imeuwawa na kitendo cha yeye kuficha sana simu
kwani hizo simu zina nini cha siri??nilikuwa nataka tufunge ndoa kabisa mwaka huu lakini kwa mpango huo nitakaa alone milele hapa duniani
bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mwanamke mwenye siri
this is true story!!!!
 
Pole Episodes! Njoo kwangu mi sina siri! Tehetehe!
 
pole muungwana huyu inaonyesha ana mahusiano na wanaume wengine
 
Ulimpenda kwa kumtamani , unatakiwa umuombe MUNGU akupe mke , vinginevyo utapiga Kwata sana........!
 
kaa nae vizuri atakuambia kwanini anafanya hivyo usiwe na papara....au njoo kwangu sina simu kabisa hutapata presha
 
Bora umuache ingawa sikupi tumaini kuwa utampata mwingine ataelipa hisani ya upendo wako kwake
 
Pole sana...!!!situation zetu zinafanana angalia thread yangu ya ngastuka...!!!unakutana na mtu u fall completly unajua yes this is the one lakini baadae anavyobadilika acha tu usikate tamaa lakini...!!!
602382_289288454521923_1286869126_n.jpg
 
Kweli bora uishi mwenyewe maana mwanamke utakaemwoa utamtesa sana na wivu wako wa kitoto...
 
Nimegundua wanawake sio viumbe wazuri hata kidogo,nina umri wa miaka 36 na mchumba wangu ana umri wa miaka 34,tumekutana miezi minne iliyopita na uhusiano wetu ulikuwa mzuri kwani nilimwamini na kwa kweli ana uwezo kunizidi,mtakumbuka miezi ya hapo nyuma nilileta mada hii hapa,ilikuwa ni true story kabisa
kitu kimoja ambacho huyu dada amekuwa akinisumbua nacho ni simu zake mbili za mkononi,huko nyumba tumewahi kugombana mara kadhaa kwa ajili ya simu,yaani anazificha na hataki kabisa mimi nizishike japokuwa kila simu ina password
jana usiku nililala kwake lakini asubuhi nilipoamka nikagundua simu zake hazipo hapo chumbani kwake,nikamuuliza simu zako ziko wapi?
akachukua begi lake la mkononi na ku search ndani yake hakuna kitu,halafu akawa kama ameshtuka na kusema nilizisahau kwenye gari jana jioni,nikachukua fungua za gari na kwenda kuzichukua lakini sikuona kitu
nilipomuuliza zaidi akawa mkali na kuniwakia eti simwamini kwa sababu ya simu,kilichonishangaza ni kwa nini awe mkali kuulizwa habari ya simu??niliamua kuondoka asubuhi ile ilikuwa saa kumi na moja na kuchapa yeboyebo zangu kurudi kwangu
nimeamua kumwacha kwa sababu japo nilishaanza kumwamini lakini trust yangu imeuwawa na kitendo cha yeye kuficha sana simu
kwani hizo simu zina nini cha siri??nilikuwa nataka tufunge ndoa kabisa mwaka huu lakini kwa mpango huo nitakaa alone milele hapa duniani
bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mwanamke mwenye siri
this is true story!!!!
Episodes, huyu mwanamke ana bwana au mabwana ambao anawathamini kushinda wewe. Nina hakika kwa miaka yake 34 ambayo kwa mwanamke ameshapitiliza kuolewa ina maana bado hajatulia. Na kama ukimuoa nakuhakikishia utakufa na tai shingoni kama si kupeana talaka within a short time!!! Kawaida unapokutana na mtu matured kama wewe na yeye ni lazima huko nyuma muwe mmekuwa na mahusiano na watu wengine, kinachotakia ni kuwa wazi kwa kila mmoja wenu na kuahidi kuachana nao. Huyu kicheche wako bado ana mabwana na ninahisi tabia yake mbovu ndiyo imemfanya amedunda miaka 34 bila kuolewa!! Jianamke hatari hili!!! Aise na ninahisi atakuwa na mume wa mtu kwa umri waliokuwa nao!!! Mkuu tulia kama kweli unataka mke utampata tu!! Ila pia una 36 kwa nini ulichelewa kuoa au ulikuwa masomoni? Sikuwahi kusoma thread zako za nyuma pengine uliweka wazi ni kwa nini by 36 huna mke? Kwa umri huo wengi wetu angalao tuna watoto 2 au watatu kwa wale tulioa kuanzia 28-30!!!! Usikute una date mke wa mtu aise!!! Kuwa makini!!
 
Nimegundua wanawake sio viumbe wazuri hata kidogo,nina umri wa miaka 36 na mchumba wangu ana umri wa miaka 34,tumekutana miezi minne iliyopita na uhusiano wetu ulikuwa mzuri kwani nilimwamini na kwa kweli ana uwezo kunizidi,mtakumbuka miezi ya hapo nyuma nilileta mada hii hapa,ilikuwa ni true story kabisa
kitu kimoja ambacho huyu dada amekuwa akinisumbua nacho ni simu zake mbili za mkononi,huko nyumba tumewahi kugombana mara kadhaa kwa ajili ya simu,yaani anazificha na hataki kabisa mimi nizishike japokuwa kila simu ina password
jana usiku nililala kwake lakini asubuhi nilipoamka nikagundua simu zake hazipo hapo chumbani kwake,nikamuuliza simu zako ziko wapi?
akachukua begi lake la mkononi na ku search ndani yake hakuna kitu,halafu akawa kama ameshtuka na kusema nilizisahau kwenye gari jana jioni,nikachukua fungua za gari na kwenda kuzichukua lakini sikuona kitu
nilipomuuliza zaidi akawa mkali na kuniwakia eti simwamini kwa sababu ya simu,kilichonishangaza ni kwa nini awe mkali kuulizwa habari ya simu??niliamua kuondoka asubuhi ile ilikuwa saa kumi na moja na kuchapa yeboyebo zangu kurudi kwangu
nimeamua kumwacha kwa sababu japo nilishaanza kumwamini lakini trust yangu imeuwawa na kitendo cha yeye kuficha sana simu
kwani hizo simu zina nini cha siri??nilikuwa nataka tufunge ndoa kabisa mwaka huu lakini kwa mpango huo nitakaa alone milele hapa duniani
bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mwanamke mwenye siri
this is true story!!!!

36years bado unacomplicate?? Oa mkuu....usikate tamaa ,,hawa viumbe unatakiwa kutumia akili sana kuishi nao...usiendekeze hisia hata kidogo....maamuzi yafanye kwa akili tu.....

Look,ushakuwa mtu mzima sana brother...you should have now hold your family......angalia mwanao asije kukuita babu....

Mimi binafsi sina historia ya kuwaendekeza hawa viumbe,but ninavyoishi nao kwa akili....napata appreciation sana from them.....na huwa hawanisahau daima....

DUH.....yeye nae anahangaikia nini....?? mbona keshazeeka......mwambie kwa age yake watu tunamshangaa huo uhuni wake sio saiz yake......alitakiwa kuwa keshapitia huko.....au ndo mapenz ya kujulia ukubwani.....

Pole sana kaka...
The Magnificient......!!
 
Last edited by a moderator:
Kweli bora uishi mwenyewe maana mwanamke utakaemwoa utamtesa sana na wivu wako wa kitoto...

Mkuu Tuko yaani uwe na mwanamke/mwanaume halafu simu ni kuficha na password juu halafu useme eti kufuatilia ni wivu. No way!!! Kitendo cha kumuo mtu ambaye hana uaminifu ni kifo ndani ya ndoa. Vinginevyo kama kila mmoja wenu ni kicheche basi hakuna wa kumuuliza mwenzio mnatoka ngoma drooo!!! Yaani kirendo cha wewe kuficha au kuweka password kwenye simu nakuacha in a second!! Kama huwezi kuniamini hadi uniwekee password basi huna mapenzi na mimi, and vice versa!
 
mmmmmh pole sana aisee,mwanamke wa hivo anaweza kukuwekea sumu ukafa etiii....huyo ni gumegume
 
Episodes, usikate tamaa...mwombe Mungu atakupa mwanamke mwaminifu! Dunia ya mapenzi ya leo ni pasua moyo. Nawaasa sana wale ambao bado hamjaoa kuweni makini. Msiwapende wanawake mkaanza kuwekeza (kipesa) a lot...unaweza siku moja ukajikuta mikononi mwa polisi kwa kosa la kuua! Mkitaka kuwajua wanawake wenye mapenzi ya kweli msiwaingie kwa gia kuwa mambo yenu safi (mko na pesa au mali)! Take care..
 
Nimegundua wanawake sio viumbe wazuri hata kidogo,nina umri wa miaka 36 na mchumba wangu ana umri wa miaka 34,tumekutana miezi minne iliyopita na uhusiano wetu ulikuwa mzuri kwani nilimwamini na kwa kweli ana uwezo kunizidi,mtakumbuka miezi ya hapo nyuma nilileta mada hii hapa,ilikuwa ni true story kabisa
kitu kimoja ambacho huyu dada amekuwa akinisumbua nacho ni simu zake mbili za mkononi,huko nyumba tumewahi kugombana mara kadhaa kwa ajili ya simu,yaani anazificha na hataki kabisa mimi nizishike japokuwa kila simu ina password
jana usiku nililala kwake lakini asubuhi nilipoamka nikagundua simu zake hazipo hapo chumbani kwake,nikamuuliza simu zako ziko wapi?
akachukua begi lake la mkononi na ku search ndani yake hakuna kitu,halafu akawa kama ameshtuka na kusema nilizisahau kwenye gari jana jioni,nikachukua fungua za gari na kwenda kuzichukua lakini sikuona kitu
nilipomuuliza zaidi akawa mkali na kuniwakia eti simwamini kwa sababu ya simu,kilichonishangaza ni kwa nini awe mkali kuulizwa habari ya simu??niliamua kuondoka asubuhi ile ilikuwa saa kumi na moja na kuchapa yeboyebo zangu kurudi kwangu
nimeamua kumwacha kwa sababu japo nilishaanza kumwamini lakini trust yangu imeuwawa na kitendo cha yeye kuficha sana simu
kwani hizo simu zina nini cha siri??nilikuwa nataka tufunge ndoa kabisa mwaka huu lakini kwa mpango huo nitakaa alone milele hapa duniani
bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mwanamke mwenye siri
this is true story!!!!
heheheh miaka 36na 34 uchumba ????????????????????????????????hahahhahaahah alafu unategemea utulivu hapo ?kila mtu yuko mguu nje hapo ana uhakika wamwenzie umri wakuolewa umetupa mkono anaona bora ashikilie kuwili tawi hili likidondoka ambalo ndio lako limedondoka huyooooooooooooo ana jingine sasahivi amejishikilia pole yako episodes
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom