Namuwaza mpaka nalia

Namuwaza mpaka nalia

Punguza ujinga Wanao liliwa ni marehemu siku ukitendwa ww wallah lazima ujitundike..
 
Habari Jamiiforum?
Nisaidieni labda mimi ni mgeni wa haya mambo?
Nilikua nikitafuta mahusiano lakini mahusiano yatakayokua na afya sasa nimepata demu lakini mimi namuwaza sana mpaka nalia sjui nifanyeje? Nachoka kabisa.

AMINI NAKWAMBIA;
KWA UPUUZI HUU
HII PEPA YENU YA FORM TWO YA MWEZI UJAO LAZIMA USANDE NA URUDIE DARASA!!!
 
Habari Jamiiforum?
Nisaidieni labda mimi ni mgeni wa haya mambo?
Nilikua nikitafuta mahusiano lakini mahusiano yatakayokua na afya sasa nimepata demu lakini mimi namuwaza sana mpaka nalia sjui nifanyeje? Nachoka kabisa.
Pole mkuu, umesharogwa hivyo...
 
Kumuwazia binti tu unalia, nyie ndio mnatuaibisha sana. Je kama huyo binti angekuwa wa Musoma? Si utapigwa vibao kila siku ili ulie vizuri
 
Daaaah wewe jamaa mwanamke atakae ishi na wewe atakua ni mvumilivu sanaa, yaani wewe ni mjinga wa kuzaliwa.
 
kijana fanya juu chini upunguze kiwango cha kumpenda huyo demu, maana siku yatakukuta ndio utajinyonga kabisa.

Kijana wa kiume kupenda binti kiasi hicho ni kosa la jinai, na ni risk kwa usalama wa afya yako...

Penda kiasi tu, tumia muda wako kufanya vitu vingine ili uwaze mengine
 
Habari Jamiiforum?
Nisaidieni labda mimi ni mgeni wa haya mambo?
Nilikua nikitafuta mahusiano lakini mahusiano yatakayokua na afya sasa nimepata demu lakini mimi namuwaza sana mpaka nalia sjui nifanyeje? Nachoka kabisa.
Umriiii wako mkuu kama hutojali
 
Back
Top Bottom