Namuwaza mpaka nalia

Namuwaza mpaka nalia

Mkuu huo ni ujinga

Ukiendelea hivyo mapenzi yatakuua mwanamke acha aitwe mwanamke
 
Huyo achana naye kabisa. Mwanaume wa kawaida hawezi kumpenda mwanamke kiasi hicho - labda umependa jini si mtu. Au ana mapepo yale ambayo yanamfanya mtu aliyeachwa kujiua. Mwache FASTA
 
Hauna shughuli za kufanya?au za kukuweka bize?kama hauna embu tafuta!utajiumiza!
 
Ni kawaida, we lia tu hata sisi tunalia hivyo hivyo.
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom