mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,912
Mkuu daaah poleeee lakin ipo tatizo pahala kwani wewe kulia lia wapenda kama vp piga tindo hyo mambo fanya inshu nyingine kwan wwe na nduru nduru na wwe so til ds material tym unalia

Umekwishaaa!Anajua tayari
itakuwa unawaza siku uliyopewa 0713Jinsi alivyo tu nazimika
pole sana mkuu hata Mimi napitia wakati huu mgumu japo silii ila najikaza tu utazani hamna kituHabari Jamiiforum?
Nisaidieni labda mimi ni mgeni wa haya mambo?
Nilikua nikitafuta mahusiano lakini mahusiano yatakayokua na afya sasa nimepata demu lakini mimi namuwaza sana mpaka nalia sjui nifanyeje? Nachoka kabisa.
Sio bure, nakushauri ukamaone Daktari wa magonjwa ya akiliHabari Jamiiforum?
Nisaidieni labda mimi ni mgeni wa haya mambo?
Nilikua nikitafuta mahusiano lakini mahusiano yatakayokua na afya sasa nimepata demu lakini mimi namuwaza sana mpaka nalia sjui nifanyeje? Nachoka kabisa.
unastahili vibokoMatron acha matusi!