Zigu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 315
- 193
Nadhan utakuwa na pepo la kuliaHabari Jamiiforum?
Nisaidieni labda mimi ni mgeni wa haya mambo?
Nilikua nikitafuta mahusiano lakini mahusiano yatakayokua na afya sasa nimepata demu lakini mimi namuwaza sana mpaka nalia sjui nifanyeje? Nachoka kabisa.