Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Ukilipa mahari ukweni unawapangia matumizi??simba siyo mali yake ni mali ya wanachama sasa kama unataka kufanya biashara au kumiliki sharti abide na wenye maliPesa haiwezi tolewa kama ubwabwa wa Rungwe kila mtu ajichotee.
Business principles zinataka iwepo management thabiti ku controll hiyo pesa.
Kusikia tu harufu ya 20b Kigwangala anataka kuzikopa, na wengine wapo pembeni kuzifaidi!
Hakuna nilipochemka simba tumelogwa na mafanikio ya uwanjani ila mo janja janja nyingiMkuu naona ulijaribu kumix na umombo ili tukujue wewee ni John Kisomo ila kiukweli umechemka
Na shukuru sana ila ukweli utabaki pale pale mo asali sana tuendele kupata matokeo la sivyo utakuja kuniomba radhi siku moja hapaMpumbavu Ni sifa yako Wala sijakutusi, unakomaa billion 20 Kama vile wewe una mchango wowote kwenye Simba Zaidi ya kupotosha tu, utopolo fc nyamaza!
Umeonge point sana,je ili kupata hisa kwenye entity yoyote unatakiwa kufanya nini?? Je hizo 49% mo amelipia anapata wapi hualali wakufanya maamuzi wakati hajawa mwana hisa halali?Simba si Mali ya wanachama.
Ni Mali ya wanahisa. Au hujui katiba imebadilika?.
Simba Ina wanahisa, viongozi (wanaolipwa) na mashabiki.
Hizo hela za Moh hata akitoa ww hunufaiki na chochote kwa mfumo wa Hela Bali washabiki wananufaika na matokeo mazur na mpira mzuri.
Wananufaika wenye Hisa wenzake tu.
Maana mwisho wa mwaka vikao vitakaa kuona
Gharama za uendeshaji - Mapato = Faida.
Then Faida wanagaiwa wenye hisa.
Ndio ilivyo sasa kikatiba.
Mo anatoa Bill 5.5 kila mwaka kutoka budget ya Bill 1.5 hapo awali.
Je hizi Bill 5.5 zinazoingia kwenye budget sio part ya hizo Bill 20 anazotakiwa alipie Hisa?.
Au kwann anatoa hizi wakati kisheria alitakiwa atoe Bill 20, then akae aaangalie zinavyozunguka na kutoa faida.
Ukishatafakari haya.
Jiulize kazi ya CEO ni nini kwenye kampuni yoyote.
Tukirud kwa Hamisi,
Kwann hili limeibuka Leo na sio wakati wa Senzo?. Je angechaguliwa CEO mwingine ambaye hafahamiki na Mo , Hamisi angekuwa bado na shida na kuhoji Bill 20?.
Kama asingekuwa na shida basi ni chuki binafsi anazo na Moh kuona Moh amempa mtu anaemjua kazi ya CEO.
Na bado Hamisi hajui Simba kampun inavyoendeshwa.
Maana kazi ya CEO ni kuletea kampuni yoyote Faida.
Sasa utampaje mtu ambaye hujui utendaji kazi wake ili atengeneze Faida.
Senzo hakubuni miradi mingine ya kuketea Kampuni faida.
Umeonge point sana,je ili kupata hisa kwenye entity yoyote unatakiwa kufanya nini?? Je hizo 49% mo amelipia anapata wapi hualali wakufanya maamuzi wakati hajawa mwana hisa halali?
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Etiii kisa sisi ni masikini hatuna sauti thubutjMatusi hayasaidii kitu mbali na kuweka upeo wako haiwezekani jambo lifanyike kienyeji la kumteua secretari wake kuwa mtendaji mkuu wa klabu tunyamaze eti kwa sababu tunapata matokeo maziri kwanza aweke B20 asikwepe
49% kaka ila anadhamini simba kwa mkataba wa muda gani mbona hatujajulishwa kama wanachama ?DSE - Dar es salaam Stock Exchange inahusika na kuuza Hisa ya kampuni yoyote.
Kampuni inatangaza kutoa umiliki (initial Puplic offering -IPO ) ya Hisa kadhaa na kampuni husika wanapanga wauzeje hivyo vipande vya hisa,
DSE yenyewe inaratibu kisheria na kwa uwazi huo mchakato.
Simba bado haijapeleka Haya kwa DSE, wanadai wako kwenye utaratibu wa kufanya Haya yote na yakikamilika Moh atanunua Hisa za asilimia 51 zenye thamani ya Billion 20 na Bodi ya kipindi kile ilihafiki.
Kwahiyo Simba haipo DSE kwa sasa.
Wakati Haya yakifanyika/kusubiria huo uwekezaji, bodi iikaamua kuchagua mwenyekiti na wakamchagua Moh.
Moh akasema anadhamini timu Bill 5.5 kila mwaka kama hatua ya awali ya kuja kuchukua Hisa 51%.
Mwenyekiti ana maamuzi.
Hapa Mo anaamua kama mwenyekiti na sio kama mwenye Hisa mkuu.
Nadhan nimekujibu maswali yako
49% kaka ila anadhamini simba kwa mkataba wa muda gani mbona hatujajulishwa kama wanachama ?
Ya Kigwangala Ana point Sana, tatizo hizo point hazisajili Wala hazilipi Mishahara.Mh. Kigwangala kwenye siasa huwa simuelewi kabisa ila kwenye suala la Simba ana point kubwa sana, CEO wa simba si suala la gender wala experience kwenye soka maana sio CEO wa kwanza kwenye soka. Je, kwa nini awe na vinasaba na moja kati ya mtu anayetaka kuinunua club ya wanachama?
Simba siyo NGO binafsi ya Mo ni taasisi ya kubwa ya mamilioni ya watu ambayo inahama kwenda kwenye corporate entinty nafasi kama ya CEO ambaye ni mtendaji mkuu wa club lazima itangazwe kwa absolute transparent maana interest ya mamilioni ya watu relay to her hatutaki mtu biased hasa tunaopoelekea kwenye mchakato wa mabadiliko.
Our future must be secured, siyo kwa sababu tunapata matokeo basi mambo yafanyike kienyeji tu bila weledi mkubwa, suala la kukopa kwa kila mpambanaji ni kawaida tu as longer analipa kwa wakati!!
NB: Yajayo yanafurahisha, tuendele kupata matokeo lasivyo aaaah, Mo kwenye 20b anakuwaga Mwamedi.
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hizii pesa za dezo ndio zinaleta masimangoYa Kigwangala Ana point Sana, tatizo hizo point hazisajili Wala hazilipi Mishahara.
wewe umechangia sh ngapi mkuu mo.anachelewa kutoa b.20 tangaza wew kuwa utatoa 30 ili umpiku mo co kutulea ujinga ujinga tu hapaNashukuru kwa tusi lako ila simba siyo mali ya familia ya dewji ni swala la muda tu kabla haingia kumi 18 za watu hatapona kama ataleta janja janja simba inabeba maslahi makubw ya watu
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Mimi nachangia club kupitia ada yangu ya uwanachama yeye ndio ana hihitaji simba zaidi kuliko tunavyo muhitaji simba ime survive 79 years bila yeyewewe umechangia sh ngapi mkuu mo.anachelewa kutoa b.20 tangaza wew kuwa utatoa 30 ili umpiku mo co kutulea ujinga ujinga tu hapa
Huwa simkubali Kigwangwala daima, lakini katika hili yuko sahihi na ninamuunga mkono.
Dewji ameonyesha utoto, ujinga, ujanjaujanja na utapeli mkubwa kuhusu uwekezaji ndani ya Simba.
UTOTO HUU #VIRUS
Ya Kigwangala Ana point Sana, tatizo hizo point hazisajili Wala hazilipi Mishahara.
Je angehoji kama angekopeshwa?Mh hamisi ni shabiki na mwanachama lialia wa simba ana haki ya kuhoji maendeleo ya club yake swala la ugomvi binafsi mo amekosa weledi kukopa siyo dhambi hajaomba msaada
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app