Namuonea huruma mama Lucy Nkya

Nachukia sana watu Wa dar wanapokuwa wasemaji Wa sisi watu Wa vijijini.

Kwanza nani kasema nipo dar, acha hoja nyepesi!!
Pili we we mwenyewe upo dar,
kama upo morogoro basi shukrani kwa Lucy nkya kwani waruguru sasa wanaingia Facebook na jamii forum.
Ama kweli tenda wema uendezako
 

ukwaju wewe ni pilipili hana hoja huyu
 
Hii promo
 
Kaka unashindwa kujiongeza Kwa akili yako ndogo tu. Hayo majimbo yapo katika majiji ambako kuna mchanganyiko Wa watu wenye makabila tofauti lakini unapozungumzia Matombo tunajua wenyewe ni waluguru. Haya kawe wenyewe ni nani?
Mama Nkya ataendelea kutawala na hakuna cha kuweza kufanya. Hebu kauze ndizi we Mloka acha porojo:becky::becky:
 
Mama Nkya ataendelea kutawala na hakuna cha kuweza kufanya. Hebu kauze ndizi we Mloka acha porojo:becky::becky:

Baada ya uchaguzi usije ukanambia mm ni mchawi kaka
 

Pumbafu kabisa.Karne hii bado unazungumzia ''uzawa'' unazungumza ''ukabila''
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…