Namuonea huruma mama Lucy Nkya


Tafadhali kama yupo humu namshauri aachane na ccm Npo hapa mtamba kuna kampeni ya ccm na chadema, ccm hakuna hoja kabisa ila Kwa chadema watu nyomi na hoja tele
 
kulikuwa na mtu anaitwa mwinyigoha ambaye alikuwa ni naibu waziri Wa ujenzi lakini barabara ya morogoro Matombo haijalamba rami tangu Uhuru. magari hayapishani katika barabara hii. huyu karogeresi naye anamaliza hakuna jipya zaidi ya umeme Kwa msaada Wa REA kitu ambacho hata yeye asingekuwepo umeme ungekuja tu.
 
yupo busy akimwandalia mwanae mazngira ya kuchukua jimbo la mikumi.
 
yupo busy akimwandalia mwanae mazngira ya kuchukua jimbo la mikumi.

Mikumi mwakani mbunge wao ni profesa j wakati morogoro mjini mbunge wao atakuwa afande Sele.
 
Karogeresi ni kilaza sana aisee...
tunahitaji kiongozi makini kuiokoa morogoro kusini.
Haiwezekani matunda yanaoza kwa kukosa wanunuzi ama kununuliwa kwa bei ya inyonyaji wakat huku town juice yunanunua bei juu.matombo kuna machungwa,ndizi na maembe kibao lakini viongozi wanashindwa hata kutafuta wawekezaji kwenda kujenga kiwanda cha kusindika juice ili bei ya mazao ipande.
Pia wilaya nzima ya morogoro vijijini haina hata high skull Moja ya kusoma form5&6 aisee hili janga.
Pia wilaya ya morogoro vijijini haina mkuu wa wilaya wake maalumu bali inaongozwa na mkuu wa wilaya ya morogoro mjini tangia tupate Uhuru.
Pia wilaya nzima ya morogoro vijijini inaongozwa na halmashauri ambayo ofisi zake zote zipo mjini which means dizain kama tunaendeshwa kwa "remont"
Morogoro vijijini hospital yetu ya wilaya ni tawa lakini hata jino likikaa vibaya unaambiwa nenda morogoro na kuna rekodi kuwa watu wanaogopa kung'olewa pale co vitendea kazi na wataalam duni.hospital haina hata x-ray maskini juz kati mtoto wa mjombaangu kaanguka avoenda kapewa vidonge tuu lakini avoletwa mjini kupigwa x ray kumbe mkono umevunjika je c ungeoza huu
Hospital haina hata kitengo cha upasuaji wajawazito maskini mama zetu c wapo hatarini sana.
So huu ni miongoni mwa ujinga unaofumbiwa macho na viongoz wetu.
Wananchi wa morogoro kusini na morogoro vijijini kwa ujumla tuamke tushikamane tuwe kitu kimoja lasivo tutaendelea kuwa duni.
Haiwezekani wilaya inamadini kibao lakini wachimbaji wadogo hawajengewi uwezo wakanufaika vya kutosha.
Ukienda seruu mbuga inawanyama kibao lakini ukikutwa na kipande cha nyama pori utaambiwa jangiri jamani huu c unyanyasaji wakati watu wanabeba meno ya tembo daily
 
Chama kipi cha UKAWA chenye nguvu hapo kishike hatamu Mara moja

Jimbo lile ni Kubwa sana lina KATA14 kuna maeneo CDM kuna maeneo.CUF kwingine CCM bado wananguvu chakufanya jamaa wa UKAWA wafanye utafiti wakutosha lile JIMBO liko wazi halina mwenyewe kwa sasa
 
Huyo hapo chini ni aliyekuwa mbunge Wa morogoro kusini ndugu hamza a. Mwenegoha pia naibu waziri Wa ujenzi Kwa miaka mitano hakuweka hata changarawe katika barabara hata moja katika jimbo lake.
 

Attachments

  • 1418137878477.jpg
    5.6 KB · Views: 687
Hiyo sababu ya pili naomba uiondoe,kwani moro ni mkoa wenye sifa ya kuongozwa na wabunge wahindi na waarabu,
je hao nao ni waluguru? nilitegemea kwamba wananchi wameamka na kutaka ukombozi wa kifikra kwa kumsimamisha mpinzani. kama ni mambo ya ukabila
washindwe tu.
 

Nafikiri wahindi na warabu watafute machaka mapema
 
Watu wa Morogoro wengi ni wafupi,na akili zao hivyo hivyo.Wageni wameendelea kuwatawala toka enzi za ukoloni hadi sasa.uhuru wao hadi wachague UKAWA ndio utakuwa uhuru wao wanaupata kwa mara ya kwanza.Huyu mhindi wa sasa nasikia kaupata ubunge kwa kutoa basi moja kusaidia kwenye misiba ndo kamaliza.Sisi huku kwetu Singida huyu mhindi awamu moja tu inamtosha,anapigwa chini
 
kuna mbunge tz anaitwa lucy nkya?? ndo namsikia leo kweli uchaguzi umekaribia
 

Kwa hivyo nanyinyi huko singida akili zenu zipoje? Maana pia mnatawaliwa! Nahisi mna m.avi kwenye vichwa vyenu.
 
Mama huyo anafanya kazi nzuri na anahuruma na hao watu wake.Hakuna wa kumtoa hapo atleast hao waliionyesha nia woote hovyo

Kuna maendeleo yoyote huko?
 
Kuna maendeleo yoyote huko?

Kiukweli hakuna labda huyo anayesema huyu mama ana huruma na watu atuambie. Maana barabara ni mbovu, jimbo lake maji ni shida hospital matatizo
 
Yapo...Amejenga dispensary,Daraja la mtombozi linajengwa kwa mil 525 sasa,Barabara inaanza kuchongwa pia.Project ya bwawa imeanza na wananchi washalipwa
 
kwani huyu mama ilikuwaje akapewa ubunge na siyo mzaliwa?halafu watu wa Morogoro wapo nyuma sana,kuna waarabu kibao na wahindi wanawatawala huko,tabia ya watu wa morogoro ni ubishi na kujiona wanajua halafu wavivu,acha waendelee kutawaliwa na wageni

Jamani mbona tunaleta ubaguzi? Kwani mtu haruhusiwi kugombea mahali anapoishi? Nadhani tunavuka mstari wa ustaarabu. Akataliwe kwa sababu nyingine siyo ya ugeni. Kwani wanaogombea Dar es Salaam wote ni Wazaramo?
 
Hivi zile risasi walizorushiana na mwanawe ziliishiaje ?
 
Huyo hapo chini ni aliyekuwa mbunge Wa morogoro kusini ndugu hamza a. Mwenegoha pia naibu waziri Wa ujenzi Kwa miaka mitano hakuweka hata changarawe katika barabara hata moja katika jimbo lake.
Ukimwangalia sura tu ana kila dalili ya roho mbaya .
 

upuuzi wa cv huku kichwa kimejaa maji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…