Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee.

Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa.
Ulitaka mtu wa kuchat tu, kwanini usingetafuta mwanaume, kwa nini uliangalia wenye sura nzuri, kwa nini ulihisi umeingia cha kike baada ya kukutana naye? Nia ilikuwa ni kuchat tu?
 
Ulitaka mtu wa kuchat tu, kwanini usingetafuta mwanaume, kwa nini uliangalia wenye sura nzuri, kwa nini ulihisi umeingia cha kike baada ya kukutana naye? Nia ilikuwa ni kuchat tu?
Kaka mwenyewe unajua men huwa hatuna story ndefu eti tukae tuchat tu tofaut na hawa wenzetu.

Hizi ni preference tu za watu ambao nimeona wamenivutia coz wengine wameweka cartoon so hujui unachat na nan.

Nliingia chakike sababu nlichoweka akilini mwangu ni tofauti na nlichoona
 
Mahusiano hianzia hivohivo kawaida kawaida mara utani utani utani aaahhhh! Mkule tu si kajiletaaaaa
 
Wewe makali-0 kweli, sasa mtu humpendi kwa nini uendekeze mazoea ya kijinga hivyo? Au unamtaka? Shame!
Tulishazinguana baada ya kumchana ukwweli huu ni mwezi wa 6 sasa, na hajawahi nitafuta wala mie kumtafuta ,juzi Niko mishe mishe nakutana nae Yuko na jamaa mwingine akanipa hi akasepa
 
Ulisoma CeET(ipo UDSM) mkuu? Au ni mwana art mwenzangu?
 
Hongera kaka, ila kama ni masuala ya computer si unaweza hata kujiajiri? Mbona bando unapata la kuingia JF? Si umejiajiri kwenye computer? Anayetakiwa kulalamika ni yule aliyesoma kozi ambazo si rahisi kujiajiri.
Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…