Asante kwa kuchangia bado muda wa kufanya maamuzi kwa mustakabali wa Taifa lako upo,HATUMPI!
Hujatoa ushawishi wa kwa nini hasa tumchague huyo unayetuhimiza tumchague.Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.
Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana.
Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake nzuri aliyoianza.
Namuombea Mh. Magufuli na Mgombea Mwenza mama Samia kwa nafasi Urais.
Tukapige kura za ndio kwao , hao wawili wanaonekana mwanzoni kabisa wa karatasi ya kupigia kura, weka tiki hapo mwanzoni kabisa mwa karatasi yako usijichoshe kuangalia kwingine.
Tanzania inakwenda kushinda tena.
Mitano kwa JPM.
Hakuna kitu chochote kilicho bora kwa mtu kama kuwa na HAKI na kuwa huru.Angalia nafasi ya Urais na umuhimu wake , angalia ubora wa kila mgombea katika kutekeleza majukumu yake,
Angalia nani amewekeza muda na rasilimali kuhakikisha watanzania wanapata maendeleo,
kama iliwezekana kulipa bil 20 za elim bure ije kuwa huto tu kilometa tutano.Natokea Msanga Zalala wilaya ya Kisarawe ambayo Suleiman Jaffo ndiye mbunge wake, Ni aibu, barabara Ni mbovu Sana. Kisarawe hakuna maendeleo, je na kwenyewe wanaadhibiwa kwa kuwapigia kura wapinzani?
Kilometers 5 kutoka wapi kwenda wapi?kama iliwezekana kulipa bil 20 za elim bure ije kuwa huto tu kilometa tutano.
pamoja comradeTupo pamoja comrade.
Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.
Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana.
Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake nzuri aliyoianza.
Namuombea Mh. Magufuli na Mgombea Mwenza mama Samia kwa nafasi Urais.
Tukapige kura za ndio kwao , hao wawili wanaonekana mwanzoni kabisa wa karatasi ya kupigia kura, weka tiki hapo mwanzoni kabisa mwa karatasi yako usijichoshe kuangalia kwingine.
Tanzania inakwenda kushinda tena.
Mitano kwa JPM.
Unaishi kwa mjombaBinafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.
Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana.
Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake nzuri aliyoianza.
Namuombea Mh. Magufuli na Mgombea Mwenza mama Samia kwa nafasi Urais.
Tukapige kura za ndio kwao , hao wawili wanaonekana mwanzoni kabisa wa karatasi ya kupigia kura, weka tiki hapo mwanzoni kabisa mwa karatasi yako usijichoshe kuangalia kwingine.
Tanzania inakwenda kushinda tena.
Mitano kwa JPM.
Haitakaa itokeeUtataga tu.