Namuombea kura Dkt. Magufuli

Namuombea kura Dkt. Magufuli

Unaandika kwa wasi wasi kama vile huna AJIRA.
AMA KWA SABABU SELIKALI YA MAGUFURI HAIJATOA AJIRA MIAKA 5 NA WEWE UMEADHIRIWA ?


Unamuombea kura mwenyekiti wa wasio julikana???
Achana na walamba viatu miguuni pa mfalme wao mkuu, one day na wao atawageuka tutaongea lugha moja tu.
 
Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.

Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana.

Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake nzuri aliyoianza.

Namuombea Mh. Magufuli na Mgombea Mwenza mama Samia kwa nafasi Urais.

Tukapige kura za ndio kwao , hao wawili wanaonekana mwanzoni kabisa wa karatasi ya kupigia kura, weka tiki hapo mwanzoni kabisa mwa karatasi yako usijichoshe kuangalia kwingine.

Tanzania inakwenda kushinda tena.

Mitano kwa JPM.

watu wameamua kwa facts
 
Hongera sana Dr. Magufuli , Mama Samia, na Dkt. Mwinyi kwa ushindi mkubwa.

Watanzania wamewaamini mkawatumikie kwa uaminifu.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom