FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,202
- 40,924
Mateso makali sana loh.Sina hakika kama imeshaletwa huku au laa, ila mimi ndio nimeiona leo. Nikaona niilete hapa ili mwenye kuweza kusaidia matubabu ya mwigizaji Carina asaidie. Pengine hata tukimega pesa kidogo toka kwenye yale magoli ya Mama si mbaya sana, asaidiwe apelekwe hata India tu. Maelezo kamili yapo chini kwenye video
Siku hizi naona mambo mazuri!Mungu atafanya njia kifedha hata kumponya . Amen
Kuna hii ni ya miezo 10 iliyopita, acha hiyo ya leo, ni kadhia ya muda mtefu sana it seemsLoftins! Unataka kuona video ya mwenzio akiteseka ndio utume mchango wa matibabu!
Unaona mambo mazuri wapi mkuuSiku hizi naona mambo mazuri!
Aisee ni kweli, ameteseka muda mrefu sana, hii ni miaka miwili iliyopitaHujafa hujaumbika jamani Wanasema ashapelekwa hadi nje kweli wameshindwa kumponesha madaktari
Tunamuombe apone haraka
Kutoka Samsung hadi kuanzisha Kampuni mkuuUnaona mambo mazuri wapi mkuu
MImi SAMSUNG? na nina kampuni?? πππKutoka Samsung hadi kuanzisha Kampuni mkuu
INsta@dollrubii_decors hiyo siyo Kampuni yako?MImi SAMSUNG? na nina kampuni?? πππ
Sawa Baba hiyo hongera ingelifaa zaidi PM. Hata hivyo ASANTEINsta@dollrubii_decors hiyo siyo Kampuni yako?
PM huwa napaogopaSawa Baba hiyo hongera ingelifaa zaidi PM. Hata hivyo ASANTE
Sawa Muheshimiwa karibuPM huwa napaogopa
Sawa, na mimi natuma nitaweka muamala hapaJamani tumsaidie mwenzetu mimi tayari
Umetuma TSh 5,000 kwenda kwa 255712595858 - CAROLINHAWA EBRAHIMBOUNIN. Jumla ya Makato TSh 184. (Ada TSh 130, Tozo TSh 54), VAT TSh 20. Kumbukumbu no.: XXXXXX. 11/05/23 19:32. Salio lako jipya ni TSh 133. Furahia punguzo la Tozo unapofanya miamala kwa Tigo Pesa.
Nawe pia, Ubarikiwe sana mkuuSawa Muheshimiwa karibu
@dollrubii _decors
@dollrubii_vyombo
Salamu kwa Familia