Namuogopa sana lizy!


Kweli kutongoza ni kazi ngumu huyu jamaa kaanzia mbaali ili dada Lizy am-PM amuondoe woga alafu ile kwake. Dada Lizy jiangalie sana na gia ya huyu jamaa nakumbuka nikiwa chuo nilishawahi kumkamua mtu kwa gia hii hii nilimuambia kwamba namuogopa sana namuona kama ni mkali sana baadaye akaanza kujitahidi kuni-prove wrong kwa ukarimu, then ikala kwake
 

Unaongea kulingana na uzoefu. Na ndo maana nikasema kuna kitu behind the scene tunayoona hapa
 
Wanaomuweza Lizzy ni Nyani Ngabu na Rev Fr Masanilo, Kabinti huishia kulia na kupenga kamasi.
 
hahahahaaa,unaogopa mtu usiyemjua?acha woga ndugu,na ujiiamini kwa kila umalofanya
 
Eti ikala kwake una hakika gani na hilo??inaweza kuwa ilikula kwako bwanmzee,tatizo wanaume mnafikiria mwanamke akiamua kutembea na ww ni kwa faida yenu tu
 
Mchungaji Masanilo yuko wapi?Jana kwa aliyekuwepo humu na mwenye akili atakuwa anajua kinachoendelea hapa!Ndo maana nimesema upupu tu!
Ndugu!!?? Mbona thread za kuchangia zipo nyingi tu lazima uingie humu?? Tuachie tunaouburudika nayo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…