Namuogopa sana lizy!

hii thread imekuwa more telling than most threads...
funny.....
 
SASA hiyo kwenye red ndo topic yako au?, sasa kama ni mke wa mtu wewe inakuhusu nini? unataka kujua inakuwaje huko nyumbani kwake si ukamuulize mumewe. wacha ujinga dogo.

Hehehe..teh teh teh..
wewe, yote aliyosema..hilo tu ndo limekugusa.
Ninashawishika kufikiri kwamba;

either
Lizzy ni mkeo, na jinsi alivyo hapa ndivyo alivyo hata nyumbani

or

Una mke mwenye tabia zifananazo na Lizzy!lol

either case
NAKUPA POLE!
"Ukweli unauma...always." - Wahenga
​
 
Jamani Lizy..... una kahirizi nini? Wakware wote Lizy,. lizy, Lizy
 
<br />
<br />

Wow...thanks alot!!!
 
Lizzy! where u??
sema kitu hapa.
 
kaka hapa watu hawapendi kupotezewa mda wao kufungua thread alaf unakuta upupu!
sio lizzy tu, kiandika upupu humu unalimwatu.
lakini kuhusu lizzy, no body is strong when it comes to love mzee.
cmjui lizzy ila kama ameolewa/anaboyfriend basi ni mpole akiwa himayani!
 
Lizzzy lizzzy! she seems to be strong bwana na sio ukali!!
 
Mie simuogopi ila nampenda sana huyu Lizzy yupo independent.
 
Mentor, this has really touched my heart.

Unajua nilikua nasema leo hata m2 akinianzishia Sredi silegea, Lakini naona Mentor unataka kubadili msimamo wangu.

Let me read it again.

Dat wasn't for Lizzy..
ts for the lady av bin dreaming of cnc she came in here...
ts for her my heart has been beating so fast weneva she's near...
Vivian, jus tell me my cry u can hear!

Huyo Mentor ana nini huyo....check out mine Baby...dedicated to you.


You have come to me from a distant land,
Dreamer of dreams, to fill my hearts desire,
Sweet music flowing from your nimble hand
That plays within... to light my passion's fire.

To you, Baby.....


A life is changed in just an instant's time,
All darkness fled before that brilliant sun
That shines from spoken words of softest rhyme
And speaks of treasures, only just begun.

Saint.. kwa analysis yangu ya haraka haraka, hukosekani kwenye thread inayomuhusu Lizzy!!


You really have a nice CD.



Daditto your is Nice too, But Mentor ameonyesha msisitizo kwa kuweka italics and Blue Colour.

I feel like saying yes to him.

Baby,

This mystic meeting gives my heart a glow
That few have seen and only you will know

Kwani Baby..what's your favorite color?



aah we dogo tu mbona

Ahahahahahahahaha kweli tumetoka mbali duh!!!!

Cc: Smile na Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…