GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,768
Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo ni kujiandaa na changamoto ninazoweza kuzipata kutoka kwa Lizy. Duh, yaani huyu dada namuogopa sana labda anikosoe kwa maandishi haya ambayo nimeamua kuandika bila kuyakagua. Yote kwa yote huwa najiuliza huyu dada kama ni mke wa mtu inakuwaje huko kwa mumewe?