Namuanzaje mamamkwe???

MKUU HUU NDIO USHAURI AT LEAST WAKITAALAM ZAID UTAKUSAIDIA SANA ,HAWA WADADA AMBAO HAUJAMUOA OGOPA KAMA UKOMA ANAWEZA KUKUGEUKA USIDHANI NI YEYE SIOMBEI HIVYO ILA UAMINIFU NA MAISHA NILIYOYPITIA IMEKUWA NI VIGUMU KAMA SIO MUME WANGU WA NDOA NO ATM CARD SABABU NAJU AHATA AKIZIFUJA HELA ITAKULA KWETU LAZIMA .FANYA HIVI SASA ( KAMA UNA ACOUNT CRDB NI VIZURI UJIUNGE NA HUDUMA YA INTERNET BANKING AMBAYO INAKURUHUSU KUAMISHA FEDHA POPOTE ULIPO HATA KWENDA KWENYE M-PESA,T-PESA.THEN UNAUHAKIKA GANI NDUGUZO WANAHUDUMIWA SAWASAWA?CHUKUA HATUA UKITAKA KUSAFIRI UNAWEKA KIASI CRDB-BENK UNAKUWA UNAWAAMISHIA HELA .NAONA HATA MOYO UTATULIA.PIA ATM NI MAMBO CONFIDENCIAL SANA USIZOEE SANA KUSHEA NA WACHUMBA WATAZITAFUNA NA VIDUMU .kha utajuta weye!
 
Mkuu usikubali kabisa
kusamehe huo mkwanja, kwanza kama mama mwenyewe ni accountant it means
naye mambo yake si mabaya kama walivyo watanzania wengi, angekuwa ni
mkulima wa jembe la mkono kule Bumbuli au Tandahimba ningekuambia
msamehe.

Otherwise include huo mkwanja kwenye Mahali kama bado hujatoa mahali,
but otherwise dai chako aisee, ndo kwanza hata kumuoa bado, ukiisamehe
hiyo jiandae kukutana na changamoto kibao mbeleni.

What if bint amedanganya pesa hajampa mama yake na amemtaja tu akijua ndio atamaliza kesi.
 
Ni Laki tano wala hujakosea kuona...na nje nilipo sio Somalia...unaweza kutizama hapo juu upande wa kulia!..Ukitazama hii thread kwa jicho moja utakuja na comment kama hii!!
ujue mkuu tena huyo mchumba wako ni mzuri sana hilo zali la kumiliki ATM lingenifikia my dear sijui ingekuwaje... yaani hapo naona hajagusa kitu kabisa.... pia uache ubahili bwana ...sio fair wanaume mmeumbwa matesoo .... so relax
 
pole. bora hio pesa uipotezee tu cuz ni kosa la kwanza
siku nyengine ATM muachie dada au mama yako, hata wakichukua M1 haitokuma

Nimekusoma japo hapo kwenye red sijui ulitaka kusemaje??..
 
....ahhh, .....jikubalishe hasara bana, BTW hayo ni makaratasi tu...mtakatana wenyewe mbele ya safari...

Binti wa watu umemuamini na ATM card yako na acct...ya nini una panic sasa na kutaka kuharibu mambo? Learn from it....

Mkweo to be huyo, it's too early for you to show your true colours :cool:

Mwambie labda weye mwanamume mwenzake atakuelewa. Yaani mimi nishapata picha kuwa ni mtu wa namna gani. Snowball mahusiano ni pamoja na kuforego vitu kama hivi, after all hizo pesa zilitatua tatizo ambalo lingeweza pelekea mama mkwe wako akawa behind the bars. Sacrifice kwenye mahusiano ni kitu muhimu sana!
 
wala hakuna kuhangaika kama unakusudio la kumwoa huyo binti cha kufanya usiiombe hiyo pesa bali m-debit huyo mama mkwe na uta-recover kwenye mahali.
 
shemeji@mbu hiyo laki tano ni tsh au usd ... Maana sijaelewa
kama ni tsh huyu jamaaa kwenye ndoa huyu mkewe atakoma maana vitunguu tu atadai receipt.... Kweli wanaume wazuri wa kuoa hawapo
smile maisha yamekuwa magumu sana namtetea mtoa mada ameshakuambia an extended family,muelewe tu jamani sisi ni watanzania usimkosoe
 
mwambie labda weye mwanamume mwenzake atakuelewa. Yaani mimi nishapata picha kuwa ni mtu wa namna gani. Snowball mahusiano ni pamoja na kuforego vitu kama hivi, after all hizo pesa zilitatua tatizo ambalo lingeweza pelekea mama mkwe wako akawa behind the bars. Sacrifice kwenye mahusiano ni kitu muhimu sana!
unatumia principle ya pesa makaratasi tumia yakuzoee sio .mtoa mada hajafikia hiyo advanced .
 
ujue mkuu tena huyo mchumba wako ni mzuri sana hilo zali la kumiliki ATM lingenifikia my dear sijui ingekuwaje... yaani hapo naona hajagusa kitu kabisa.... pia uache ubahili bwana ...sio fair wanaume mmeumbwa matesoo .... so relax

Kiukweli suala la kwamba nambana kuhusu matumizi halipo!..na mimi i made this as an experiment to test her trustfulness!..unajua kuna usemi kuwa ukitaka kumjua mtu tabia yake mpe pesa..so, that is what i did!.. conclusively, sijasema ametafuna pesa, but i wanted to be sure of whether what she is saying is true!..otherwise, bila ubahili saving haiwekeki!
 
Acha hizo ndg, ss laki tano unaleta JF na je ukiambiwa mama anaumwa matibabu India si ndo utamkimbia my wife wako mtarajiwa
 
aya bwana ila mimi namuomba mungu mwanaume bahili anipitishie mbali maana sijui kama nitaweza ....
 
Mwambie labda weye mwanamume mwenzake atakuelewa. Yaani mimi nishapata picha kuwa ni mtu wa namna gani. Snowball mahusiano ni pamoja na kuforego vitu kama hivi, after all hizo pesa zilitatua tatizo ambalo lingeweza pelekea mama mkwe wako akawa behind the bars. Sacrifice kwenye mahusiano ni kitu muhimu sana!

Nasikitika kuwa umejudge a book by its cover!!!..try me and you will see madame Kaunga.
 
Kaka kaka kaka nakushauri tena sana wewe piga kimya wala usiulizie tena hiyo ela, lakini cha kufanya tumia mbinu zozote uchukue ATM yako, yaani it was too early kumpatia ATM yako hata kama ungekua haupo TZ upo ulaya bado hiyo siyo sababu ya kumwachia mchumba wako ATM tena mtu mwenyewe hata mahari hujamtolea. Please usicheze na wasichana watakuliza utabaki unashangaa, hata kama huto mchumba wako atakuja kuwa mke mwema lakini ni kosa kabisa kumwachia ATM unless kama na yeye ana kazi yake ya maana but kama ana kazi ya kubangaiza au hana kazi ni mbaya sana
 
kaka hujaoa unakabidhi ATM?kupenda gani huko?huna ndugu yako wa kumkabidhi?angalia utakuja jenga ukweni
 
smile maisha yamekuwa magumu sana namtetea mtoa mada ameshakuambia an extended family,muelewe tu jamani sisi ni watanzania usimkosoe
nimemuelewa my dear... ila ningekuwa nimemiliki iyo card mimi ...mmmh story ingekuwa nyingine hapa...hata iyo hela ya kutunza a/c sijui kama ingekuwepo
 
nimemuelewa my dear... ila ningekuwa nimemiliki iyo card mimi ...mmmh story ingekuwa nyingine hapa...hata iyo hela ya kutunza a/c sijui kama ingekuwepo
hahahah umeniua mbavu zangu smile yani hata hiyo 5000 ungechukua du
 
Acha hizo ndg, ss laki tano unaleta JF na je ukiambiwa mama anaumwa matibabu India si ndo utamkimbia my wife wako mtarajiwa
 
Hahahah..kweli kuna matawi tofauti kwenye mti huo huo...chukua ushauri unaoendana na umbali wa tawi lako.
Though nachelea kuwaza wengine matawi ya juu ila yanaburuza chini tu..wanajikosha tu apa!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom