Kama hapa panafaa ee?Absolutely.... ila sio kote ooh
Atajisababishia bp tu.Kama hapa panafaa ee?
AiseeeSasa wadau hapa hebu nipeni ushauri na techniq nauingiaje maana mimi kachero tu sina kazi maalum yoyote tu nafanya kipato cha kuunga unga, tupeane ushauri nisije kujioverdose maana naona huyu hata kumtunz siwezi asee
Note: nawasiliana ne vizuri tu mpaka sometimes saa6 usiku
Wajuvi wa hii sekta kujeni
Cc Gudume
Kula usawa unaofikia na kuumudu ni kanuni ya kawaida ya ecosystem ndo maana hata mara moja mbuzi hawzi kula kwenye matawi ya juu ambayo ni kimo cha twiga,kadhalika twiga ni nadra kula majani ya chini...ushauri wangu ni fanya lile ambalo una uwezo nalo kukwepa fedheha!Habari wakuu wa kike na wakuu wa kiume.
Basi twende kwenye point, juzijuzi tu hapa nakutana na bidafada mkali sana maeneo ya town, nikaona isiwe kesi nikaanzisha maongezi mwishowe nikaomba namba, akasema nipe zako nitaktafuta nikasema ok! Nikatoa namba, japo sikuwa na imani kama atanitafuta, maana simu yangu ilikuwa imezima( sio kimeo ni tanesco).
Lahaula baada ya muda flan akanitafuta maongezi ya hapa na pale kidogo, sasa kinachonitatiza kwa huyu mrembo ni hiki
1. Ni mtoto fulani wa kishua ambaye haijui shida inafananaje, inshort ni slay queen expensive.
2.Anavyoonekana ana mtu tena mzito kabisa sio kijana wa kuunga unga maisha( hajaliweka wazi hili ila kwa uzoefu wangu wa game nimelitambua.
3.Hana mizinga katulia tuli
Sasa wadau hapa hebu nipeni ushauri na techniq nauingiaje maana mimi kachero tu sina kazi maalum yoyote tu nafanya kipato cha kuunga unga, tupeane ushauri nisije kujioverdose maana naona huyu hata kumtunz siwezi asee
Note: nawasiliana ne vizuri tu mpaka sometimes saa6 usiku
Wajuvi wa hii sekta kujeni
Cc Gudume
Hahaa noma kweliAngalia Jamaa Yake asije akakutumia vijana waka kugegeda.
Vuta kabisa weka na poziAisee hiki kisanga kimenitokea pia.
Ngoja nivute sturi nichukue madin hapa..
Kama levo zako ndio kama za kwenye avatar hapo, hii issue ya makinikia isahau kabisa mkuu [emoji2]Mkuu hizo levo zangu,niuzie hyo kesi mimi ndo wakili na mimi ndo jaji halafu uone!!
Hata ujipange uje na makombora ya north korea namba hupatiNipe namba mkuu .nikusaidie kumshawishi akukubali.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Uvulana rahaHahahahaaaa wavulana bwanaa!!!!!!!!?????
fact!A woman is single until she is married!