Namtaka chibaba, sitaki kijana

Huwa wanasema hivyo wakiwa kwenye 20s kwa sababu ya tamaa ya pesa, halafu wakifika kwenye hizo 40s huwa wanabadilika na kuwa supa woman wanaotetea haki za wanawake na kuwachukia age mates wao (wababa) wanaotoka na mabinti wa 20s
So means, wakianza kupiga mayowe kwenye 40s tutakua hapa tunawaangalia tu.

Uzuri wa sisi wanaume, waache watembee na wababa, hata sisi tukiwa wababa tutapiga tu wa 20s, maisha kupokezana.
 
Kitaalamu inaitwa Chimama wa Chibaba
 
ndio yapo mawili nayakanyaga vibaya tangia 2019 watoto wa 2000 sina muda nao kabisa na sitaki mapicha picha na pressure zisizo na maana kwa sasa
Vipi wana matako makubwa? Na zile T3 wanazo?

Swali lingine je uliwapataje? Na mimi nawataka sema sina mbinu za kuwaingia!?
 
Ukiona hivyo ujue bi kizimkazi kakamatia chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…