Namtaka chibaba, sitaki kijana

Watu wazima ni ukomavu wa akili tu ndio huwafanya wawe watulivu. Vijana ni viberenge, mwendokasi hawajatulia kwenye suala la mahusiano wana tamaa nyingi na kutokuwajibika vema. Kijana anaoa leo mpaka afikishe miaka 50 atakuwa ameoa na kuacha wake wengi. Mtu mzima hana tamaa ya kuwa na wapenzi wengi
 
Nimepata point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…