IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,182
Jina lake anaitwa nani?Aje PM
Alishawahi kuwa kwenye mahusiano hapo awali na yalidumu kwa kipindi gani?
Upande wa familia yake, Wazazi wote wapo bado au ni yatima?
Je umbo na urefu wake unaweza kadiria?
Ni kabila gani?
Napata mashaka juu ya huyu rafiki yako kwakuwa sijataka kumfikiria sana lkn amekosa kweli wa kuendana na yeye hadi kufikia hatua hii ya kuomba msaada kama huu...Sababu mapenzi ni hisia baina ya mtu na mtu, Je kwa hii njia uliotumia itakua sahihi kwake juu ya mahusiano yake?