Halafu umesahau kuwaambia kule mlimani kunae baridi mbaya...sasa mzee inabidi apate chapa mtu kiaina.
Lala tu mdogo wangu...
Hili jukumu ni kazi pevu....
But..tutafika tu...lol!!
Babu DC!!
nkeeruiya mmiku nka neewe nki ateseka na waka wefo nkuka kunu murin!
Hivi kwa mfano baba ameacha wosia wa maandishi na huyo mke mpya hajaachiwa chochote na baba kwa maneno yake mwenyewe katamka (kupitia maandishi) warithi wake, huyo mke atakuwa na haki gani hapo?
Offer zimekuwa nyingi ngoja kwanza nikae upande lol!umeona eeeh hii ndo jf bwana huyu mama atafaa sana
nta shimanya fo mwae !
na akiacha kwa maandishi mke mpya apewe nyumba watoto kina Smile watakubali?
kweli ngoja nitafute mmama awe hg watachumbiana wenyewe
ujue babu nampenda sana mzee wangu nimetafakari nifanyeje awe na furaha ? nimeona ningepata jimama hivi sema ndo hivo the boss kanifungua macho maana mzee akianza kutangulia huyu mama nae aoe tena hapo home au kumtunza tena na yeye si ni majanga tu!
itabidi nirudi home
Ndiyo, maana wosia si ndo matakwa ya marehemu, au siyo?
Sasa kama ndiyo matakwa ya marehemu nyie wengine mna mamlaka gani ya kumpinga jinsi ambavyo yeye alitaka mali zake zigaiwe?
Okay, tuseme wosia unasema bayana kabisa bila ambiguity yoyote ile jinsi ambavyo umeuliza/eleza wewe....hata wakienda mahakamani, unadhani mahakama itautengua huo wosia? Hapa tuchukulie huo wosia ni halali kabisa.....yaani unakidhi vigezo vyote vya sheria husika.
achukue tu nyuma yenyewe ya kijijini nani anaishi bush?kwani na yeye ataishi milele bwana ???? ataishi hapo na yeye akirest in peace si kunabakia kwetu tu?
ujue babu nampenda sana mzee wangu nimetafakari nifanyeje awe na furaha ? nimeona ningepata jimama hivi sema ndo hivo the boss kanifungua macho maana mzee akianza kutangulia huyu mama nae aoe tena hapo home au kumtunza tena na yeye si ni majanga tu!
itabidi nirudi home
Ha ha ha, ila inaleta raha sana binti kuamua kumtongozea mzee, so funny and interesting.
Ila una point, wazee hawa hawafai kukaa peke yao. Wakipatikana candidate wengi, itisha interview na yeye mwenyewe akiwepo. Ni vizuri ungesea kabisa, watakaofikiriwa zaidi ni wale wa Kilimanjaro, wasijeh) wakajitokeza wa Ntwara mkalishwa samaki nchanga uzeeni bure🙂
Ongea taratibu maana kuna watu wakisikia kama Mwita Maranya GreenCity Baba V itakuwa balaa.
Ila hata mimi ghafla nimempenda huyo baba japo sijamuona.......nitulie nae!!!!