Namtafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtafuta

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by niaje, Apr 24, 2010.

 1. n

  niaje New Member

  #1
  Apr 24, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rafiki wa kiume,
  umri kuanzia 18 na zaidi,
  Ajue kusoma na kuandika,

  wasifu wangu,
  mwanamke mrebo,
  nina miaka 44,
  najua kusoma na kuandika,
  tuwasiliane niaje4u@gmail.com
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  well noted......thank you
   
 3. d

  dave80 Member

  #3
  Apr 24, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ehehehheh 44 yrs old alikuwa wapi au aliachika
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mjane
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah hii tender hii ngoja nijilipue kabisa
   
 6. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  kudoda bana...!!!
   
 7. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #7
  Apr 24, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Miaka 44 unataka kijana wa miaka 18 na kuendelea mmh angalia usije ukatafuta tena baada ya siku kadhaa..
   
 8. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sasa hivi, ngoja niingie kwene PM yangu.M2 mzima huyu kashamaliza makuzi.ukimwambia huna hela anakuelewa, co hvi vitoto kitaa.Visumbufuu!!
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,122
  Trophy Points: 280
  miaka 44 anataka mvulana kuanzia miaka 18.........................kweli mapenzi hayachagui umri,kabira wala rangi ila jamani tuangalie!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hehehehe huyu mama atapokea maombi sanduku zima la barua litajaa.
   
 11. M

  Malila JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Kipato chako please !!!!!!!!!!!!!!,kikifahamika itakuwa ulimbo tosha kwa vijana.
   
 12. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #12
  Apr 24, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Kweli maoni ya watu...duh wanataka ku-fall in love with pockets

  Kwenye hoja,Nakutakia kila la Heri dada,kuwa makini tu ktk huu mchakato maanake.......
   
 13. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #13
  Apr 24, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hapo umesema!! the only thing kitakachomvutia mvulana wa kuanzia miaka 18 kwa mmama wa miaka 44 ni kipato.
  wamama wengine hawakuiii! miaka 44 unatafuta mchuchu? tena kwenye forum!
   
 14. m

  masho Member

  #14
  Apr 24, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duh! jamani bahati ya mtende hiyo
   
 15. elimumali

  elimumali Senior Member

  #15
  Apr 24, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani kasema anataka RAFIKI - A Friend, not a Lover. Please...... marafiki wana nafasi yake, tofauti na lovers. Good Luck Madam, kuna marafiki na wanafiki.
   
 16. M

  Malila JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hapendwi mtu wewe,
  Vp Rombo unaenda lini?
   
 17. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku hizi nadhani na swing both ways!...:confused3:

  mie nitakuandikia ila mie ni mdada...
   
 18. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani Serengeti si watu!? Na wao wanastahili kupendwa ati! kama Serengeti hajui shughuli mama anamfundisha mwenyewe!
   
 19. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #19
  Apr 24, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, nakushauri usiangaike kumtafuta,hiki ni kipindi kibaya sana kwa members wa JF angalia usije jikuta pabaya! Ki la kheri mpwa!
   
 20. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa nini kipindi kibaya??..embu tupe mwanga...
   
Loading...