Namtafuta

Ujana wako uliutumia na nani uzee huu ndo utake kuutumia na watoto wa wenzio? EBO
 
wanao penda kulelewa tender hiyo changamkieni ila muwe makini maana hujui huko aliko pita kukoje! " ukimwi upo na unaua"
 
Maumivu ya kichwa huanza taratibu; mwanzo wa ngoma lele hivyo urafiki kisha mapenzi. Sijui nijilipue? Lakini gwaride langu kubwa kidogo ingaa nina kiduchu; sijui kama atalimudu kwa umri huo.
 
Ujana wako uliutumia na nani uzee huu ndo utake kuutumia na watoto wa wenzio? EBO
Nashangaa! Sijui alikuwa wapi? Ila u never knw unawekuta ameitunza bikra yake hadi umri huo! Anatafuta wa kumpa zawadi! Teeeh! teeh! haah haaah.........! Jaribu uone!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom