Mi mwenyewe nilidhani hivyo eti!
Siku hiyo nasalimiana na boss kirafiki tu kongosho nusu anitoe macho!
Jamani where are you nashida na wewe nime ku pm mtandao ukazingu wherever ur pm me please
Bora umchukue, maana Kongosho anataka kuweka hati miliki kila mahali......
mwanamme kujiamini
anajiamni, kwake siruki
ndo alichonipendea hicho.
Jaribu kutuma kwa special delivery.
hahahahaahaaaaa loh!!!! me i can't you
sio kwamba you can't me
you cant my heart for him is big
sie kuachana labda mlima kilimanjaro uhamie Nkasi, na ziwa victoria lihamie Dodoma.
Shem mambo njoo nyumbani uchukue zawadi yako nimekuletea kutoka safari
We ndevu hazishonewi wigi na mkuki haukong'olewi kwa kwenzi
Huwa unasoma PMs ninazomtumia Mwali?afu na wewe, kwa nini unajibu PM zangu za Mwali unazibounce-sha???
Huyu anacheza na mie
nimlee kijana aote mvi
afu tusichana tuanze kujipitisha saa hii
kweli ntaua mtu, na nisilaumiwe lol
Huwa unasoma PMs ninazomtumia Mwali?
Ndio mipango ya kando hiyo.
astakafululah wallah
mie nisome PM zako??
Au wewe ndo umehack zangu.
sio kwamba you can't me
you cant my heart for him is big
sie kuachana labda mlima kilimanjaro uhamie Nkasi, na ziwa victoria lihamie Dodoma.
haya msubiri kama atakuja hapa.
Hata akikuambia 'am humbled' jua waweza ninyang'anya
ila kama unamuona yuko kimya, he he he ushaliwa bibiee.
Kama picha imekushinda kuangalia, basi kusoma hutaweza.
Hebu ngoja nimwogeshe mie, kupendwa ndio huku eeeeh, kupendwa kuheshimiwa.
haya msubiri kama atakuja hapa.
Hata akikuambia 'am humbled' jua waweza ninyang'anya
ila kama unamuona yuko kimya, he he he ushaliwa bibiee.
Kama picha imekushinda kuangalia, basi kusoma hutaweza.
Hebu ngoja nimwogeshe mie, kupendwa ndio huku eeeeh, kupendwa kuheshimiwa.
Madoudou imekula kwake......
Ila the boss mbona simuoni? Aje a-comfirm majidai yako......
A
Sasa nikihack zako nitajuaje za mwali zinabounce?
We mwogeshe tu na hakirudi kwako atakuwa keshachafuka
AshaDii amekuwa mjanja siku hizi? Kivipi? Amehack PMs zako?mmmh, naanza kuwa na wasi wasi na wewe
umeanza kuwa mjanja kama AshaDii siku hizi
mbona kuna moja umemjibu naniliyu wangu kupotia ID yangu?
AshaDii amekuwa mjanja siku hizi? Kivipi? Amehack PMs zako?