Jamani mnanionea kongosho kule kwenye jf couple hakusema kama yeye na the Boss wameshasema I DO
ulitaka tuambizane I DO kwenye sredi za watoto
sie wazee wazima huwa tunaangalia tu.
Just stay away from my kichane cha ndizi.
Gusa wengine wooote lakini hapa nitakupoteza, najua kucheza rafu na fair.
Kwanza. Sasa hivi nimemwambia kuloug off jei efu.
Tafuta dogo dogo wenzio, labda jaribu Bagah anaweza kukufaa.
Konnie unapinduliwa hivi hivi
Mi sitishiki na kwa taarifa yako nipo na REJAO tunafuatilia uchaguzi kwa karibu
ha ha ha, hata aje na kijiko hawezi.
Hapa kafika kigoma haoni yeyote.
Kwa kifupi, hadanganyiki, ngoja atakuja kusema mwenyewe hadanganyiki.
Ndo maana kamPM lakini amekataa kumjibu, it was a polite way ya kusema Hell NO.
Ila sababu hajiongezi na hasomi picha, ameshindwa kusoma mchezo ulio clear.
ha ha ha, hata aje na kijiko hawezi.
Hapa kafika kigoma haoni yeyote.
Kwa kifupi, hadanganyiki, ngoja atakuja kusema mwenyewe hadanganyiki.
Ndo maana kamPM lakini amekataa kumjibu, it was a polite way ya kusema Hell NO.
Ila sababu hajiongezi na hasomi picha, ameshindwa kusoma mchezo ulio clear.
kongosho wasi wasi kaa mji ulokosa balozi...
kongosho wasi wasi kaa mji ulokosa balozi...
sija PM hangekuwa kashajibu namtamfuta hadharani uone kuwa huna chako tena
wee siku ile nilivyotaka kumbip msukuma
mbona ulitaka kunitumia tindikali na radi????
Huwa tunachezea kwingine
sio moyo ulikofika bei lol
wacha nimlinde, ndo maana wanasema ukimpenda utamlinda.
Achana na Kongosho na Sweetlady...hao wanakaba vibaya sana! Tuendelee zetu kupata mvinyo wakati tunasikilizia ushindi!Mi sitishiki na kwa taarifa yako nipo na REJAO tunafuatilia uchaguzi kwa karibu
endelea na rejao tena ikibidi mbebe kabisa.
Lakini huyu aliyekataa kujibu PM, its for a reason
na reaon yenyewe ni mie
si unaona navyomlisha hapo avartani.
tafadhali, huyu sio Maufong.
Tulia kama unanyolewa, huyu ndo baba watoto wangu, baba yake Maufong.
Usije ukamgusa baba mkwe wako.
Achana na Kongosho na Sweetlady...hao wanakaba vibaya sana! Tuendelee zetu kupata mvinyo wakati tunasikilizia ushindi!
Mi namtafta fesi buku mmemuona?
una makoloni mangapi?