Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Wana wa jf,
Namtafuta mwanangu alizaliwa mwaka 2002 na mama yake anaitwa Lucy,huyu ni mtu wa mkoa wa mara baba yake alikuwa mwanajeshi na ana kaka yake alikuwa anafanya kazi kiwanda cha Chibuku.
Huyu dada kazi yake ni Nesi ni mwembamba.Sijui huyo mtoto alipewa jina gani na mama yake ila huyu mama alimletaga huyo mtoto kwetu na alinikosa kwa kuwa sikuwepo miaka ya 2002,mwezi wa 9.
Lucy naomba ukipata ujumbe huu uende Ilala kwa wazazi wangu kisha upewe namba yangu ya simu na niweze kumpata huyo mtoto wangu wa kike.