Namtafuta mwanangu, alizaliwa mwaka 2002

Namtafuta mwanangu, alizaliwa mwaka 2002

Duuh!laana zingine...loading.....
 
Et mama yake anaitwa lucy,et ni nesi!!!haya we kila cku na visa vya watoto!!yule mwingine uliyekuwa unamtafutia house girl utakayemlipa RAV4 ,keshakuwa tayari???
 
Mkuu kuna Lucy wangapi Tanzania!? Hujui hata jina la pili la Lucy? Alikuwa nesi katika hospitali ipi? Alikuwa mwembamba wakati ule unadhani ni Lucy wangapi walikuwa wembamba miaka ile na leo hii si wembamba tena!? Kipi kilisababisha miaka yote hii 13 kukatika bila kumtafuta binti yako? Weka more info ili ueleweke na hivyo kuweza kupata msaada unaouhitaji vinginevyo utabaki na ndoto tu za binti yako.
 
Kirahisi hivyo? Weka taarifa zaidi za namna ulivyomtelekeza, mliishi kukutana wapi, shule aliyosoma, sehemu alipofanya kazi, marafiki zake, ili uweze kusaidiwa.
Muache kutelekeza watoto.

Sikumtelekeza ila nilikuwa bado nasoma sikuwa na uwezo.
 
Uongo tu huu mkuu...

Mtu anayeijua vizuri JF basi tangazo kama hili utalikuta kule jukwaa la hoja mchanganyiko...

Ila kwa kuwa huyu jamaa kazoea kupiga fiksi zake MMU ndio maana kakimbilia huku pia kuweka tangazo uchwara hili...

Tatizo lako ukishakunywa mnazi chochote unajua ni fiksi.
 
Wana wa jf.Namtafuta mwanangu alizaliwa mwaka 2002 na mama yake Anaitwa Lucy,huyu ni mtu wa mkoa wa Mara baba yake alikuwa mwanajeshi na ana kaka yake alikuwa anafanya kazi kiwanda cha Chibuku.Huyu dada kazi yake ni Nesi ni mwembamba.Sijui huyo mtoto alipewa jina gani na mama yake ila huyu mama alimletaga huyo mtoto kwetu na alinikosa kwa kuwa sikuwepo miaka ya 2002,mwezi wa 9.Lucy naomba ukipata ujumbe huu uende Ilala kwa wazazi wangu kisha upewe namba yangu ya simu na niweze kumpata huyo mtoto wangu wa kike.
Kajimbulishe kwa wakwe
 
Kwahiyo ningeacha shule nikabebe ZEGE?

We ni msengelema kichizi,sasa ulivyokua unamtooomb.a wakati ukijua ni mwanafunzi ulitegemea nn?
Alafu nakufananisha na jamaa1 ananileteaga maji kwa mkokoteni every day,au ni wewe mkuu?
Maana naona ulikosa vyote,na kwa taarifa yako tayari jamaa wameshatoboa mwamba(bikra)kuku wewe!!!
 
Kwa hiyo gharama za matunzo utalipa au unadhani alikuwa anakula upepo?

Wakurya watu wa ajabu sana nyie

Aliekwambia mimi mkurya nani wewe? gharama hata ukitaka wewe njoo nikulipie kisha nikubebe jumla.
 
Back
Top Bottom