Namtafuta mwanangu, alizaliwa mwaka 2002

Namtafuta mwanangu, alizaliwa mwaka 2002

wachagga hawakimbii watoto ata,akizaa nchi nzimaa anawatunza wote hata asipooa mama zao ila wenzetu makabila mengine mnakimbia watoto alafu mnarud wakikuaa stupid sana nyie.........

Sina hakika na hili ulisemalo. Mbona hapa kwetu Kigoma wamejaa watoto kibao waliotelekezwa na baba zao. Ukiuliza mama zao wanakwambia huyu mwanangu babaake ni mchaga/mpare aliwahigi kufanya kazi serikalini hapa miaka Fulani. Yaani ni wengi huwezi amini kama wachaga/wapare ni hodari namna hiyo, sijui ni kwa vile watu wa huku wanawapapaikia sana watu wa Knjaro ukizingati wengi wao wana rangi wakati huku nwengi ni ma black?
 
Mkuu kwa taarifa ambayo huna ni kwamba mtoto aliambiwa baba yake alikufa zaman sana.Kwahiyo huyo unayemuita mwanao,yeye anajua baba yake ni marehemu kwasasa.

Kutokana na maelezo yako unasema kipindi hicho ulikuwa shuleni,ila nikiangalia the way unavyotoa majibu yako au unavyom-demande mtoto napata mashaka ni shule gani ulikuwa unasoma.Maana majibu yako hayatoki kwa mtu mwenye elimu,kwa maana tafsiri ya elimu ni matendo.

Any way pole sana mkuu (sio kwa kumpoteza mtoto,bali kwa hali uliyonayo)
 
Wana wa jf,

Namtafuta mwanangu alizaliwa mwaka 2002 na mama yake anaitwa Lucy,huyu ni mtu wa mkoa wa mara baba yake alikuwa mwanajeshi na ana kaka yake alikuwa anafanya kazi kiwanda cha Chibuku.

Huyu dada kazi yake ni Nesi ni mwembamba.Sijui huyo mtoto alipewa jina gani na mama yake ila huyu mama alimletaga huyo mtoto kwetu na alinikosa kwa kuwa sikuwepo miaka ya 2002,mwezi wa 9.

Lucy naomba ukipata ujumbe huu uende Ilala kwa wazazi wangu kisha upewe namba yangu ya simu na niweze kumpata huyo mtoto wangu wa kike.

Wakataa mimba utawajuwa tu kwa maelezo yao
 
He he heee mtoa uzi unachekesha sana, sasa unadhani sasa hivi huyo mama wa mtoto ana shida na wewe mpaka unatoa maagizo eti aende kwenu akapewe namba zako, ili iweje sasa kama mtoto kashakuwa wakati uwepo wapo unahitajika ww ulikimbia
 
Ndio mimi ni pm

Ndio wewe nini labda. We una itwa Luccy au kiherehere.

ndo mana mnagongwa kizembezembe.

mkurya huyo hajaenda Sauzi kwa Madiba.alikua Rorya analima sigara bwwege.

kwaiyo kavuna amwamua arudi ilala kumtafuta binti yake
 
Huyu kaona amehangaika kutafuta motto kakosa.. sasa anakumbuka alio watelekeza.
 
We zaa mwingine tu! Manake Hakuna hata mmoja anayekuelewa wala sioni hata nia ya kukusaidia hata kama wanamfahamu!
 
Utakuwa mkwewangu,ninti nisha oa anaitwa shani tupo chumbageni yanga.
 
Jamani tumsamehe bure. Inawezekana alitishiwa na wazazi "Ukukubali mimba shauri yako utaambiwa umebaka... Utafungwa..." Akala relay.
 
Huyo Binti namjua,alikuwa na ulemavu wa Ngozi.
Sasa sijui huyo baba yake anamtafuta sasa kwa issue ipi
 
Mkome kutelekeza watoto,muda wote huo ulikuwa wapi kumtafuta.

Kuna mmoja kauwa Marekani jana alikuwa anakimbia ''child support''. Yaani jamaa alikuwa ametelekeza watoto ikabidi awe anadaiwa fedha za matunzo. Sasa polisi walimkamata kwa kosa jingine la barabarani jamaa alipotoka kwenye gari akaanza kikimbia mbio, na polisi akampiga risasi akamwuua palepale. Wapi William Malechela!
 
Back
Top Bottom