Namtafuta mwanangu, alizaliwa mwaka 2002

Namtafuta mwanangu, alizaliwa mwaka 2002

wachagga hawakimbii watoto ata,akizaa nchi nzimaa anawatunza wote hata asipooa mama zao ila wenzetu makabila mengine mnakimbia watoto alafu mnarud wakikuaa stupid sana nyie.........

sikukimbia wewe kocho ila nilikuw bado nasoma.
 
sikukimbia wewe kocho ila nilikuw bado nasoma.

umeona,ulivo tahira??? mimi hapa ninasoma saivi...demu wangu kajifungua last year mwezi wa9 sijakimbia.na kid namuona anytime nikitaka japo sina hata mia wewe ulikimbia,ya nini eti ulikua,unasoma......!! what a shame!
 
Lucy did well...13 yrs is too long for you to even care now. Plus you have the nerve to set demands!
 
Ulimpaje mtoto wa watu mimba wakati ulijua huwezi kulea? Miaka yote hiyo 13 mtoto kwa sasa form one na jina lako kashabadilishwa.
 
Kirahisi hivyo? Weka taarifa zaidi za namna ulivyomtelekeza, mliishi kukutana wapi, shule aliyosoma, sehemu alipofanya kazi, marafiki zake, ili uweze kusaidiwa.
Muache kutelekeza watoto.

Miaka yoke hiyo wewe unakula na kulala pazuri,na hujui mwanao anakula nini analala wapi.
Hukumtetea kipindi ambacho hakuwa na uwezo wakujitetea,mzigo wote ukamuachia mama yake,AKIFA SHAURI YAKE!!
Leo unahisi atakuwa mkubwa unajifanya kumpenda na kumtafuta hadi mitandaoni.
Ulishawahi kukaa siku hata mbilu bila kula? Mwanao mwanao alikua anakula mini kipindi chote hicho ulichomtelekeza na alikua hana uwezo wa kujitafutia?
He unadhani kilichokufanya umtelekeze Hugo mtoto mama yake alikiweza?
Muache aishi na mama yake aliyempenda toka uchanga wake!!
ILA OMBA MSAMAHA KWA MUNGU NA MUNGU ATAKUSAMEHE!
 
Ni kweli mkuu nilikiwa bado siwezi kutunza.uwezo ulikuwa mdogo.

Ulikua huli? Ulichokula wewe ungekula na mwanao!!
Upendo haupimwi kwa kiasi cha pesa
Nashindwa kukutofautisha na wanawake wanaotupa watoto kwa kisingizio cha maisha magumu.kwa kuwa ulivyomtelekeza ulikua na maana gani? Kama sio hata akifa poa tu.UKASAHAU KUWA MUNGU NDIYE MLEZI WA VIUMBE DUNIANI.

Omba mungu akusamehe,ila Hugo mtoto achana naye,UTAMPA STRESS!! Labda yeye ndio aje akutafute!
We si hauna shida naye bhana! Ungekua na shida naye ungemtelekeza!!!!????
 
Peleka barua au piga simu radio free africa ( RFA) wana kipindi cha "search line' unaweza kufanikiwa kumpata!
 
Wana wa jf,

Namtafuta mwanangu alizaliwa mwaka 2002 na mama yake anaitwa Lucy,huyu ni mtu wa mkoa wa mara baba yake alikuwa mwanajeshi na ana kaka yake alikuwa anafanya kazi kiwanda cha Chibuku.

Huyu dada kazi yake ni Nesi ni mwembamba.Sijui huyo mtoto alipewa jina gani na mama yake ila huyu mama alimletaga huyo mtoto kwetu na alinikosa kwa kuwa sikuwepo miaka ya 2002,mwezi wa 9.

Lucy naomba ukipata ujumbe huu uende Ilala kwa wazazi wangu kisha upewe namba yangu ya simu na niweze kumpata huyo mtoto wangu wa kike.

Mpaka hapa ulishakosea taratibu za kumtafuta mtoto, Wenzio tunamtafuta kwanza mama wa mtoto, ukishampata huyo ndio atakuoneasha mwanao baada ya hapo ndio uanze taratibu za kumkomboa kutoka kwa upande wa mama.

Mtoto aliyetelekezwa na baba huwa atolewagi kirahi rahisi.

Lazima ulipishwe kwanza.
 
Kwa hiyo gharama za matunzo utalipa au unadhani alikuwa anakula upepo?

Wakurya watu wa ajabu sana nyie

Hahaahaaa..mkuu umenichekesha sana...hawa jamaa noma..angalia hata lugha aliyoitumia sio ya kistarabu kabisa!..kijeshi kijeshi tu MURA!
 
Mnatia mimba harafu mnakimbia,mnasubiri mtoto akue ujitokeze?,tangu wakati huo mpaka Leo hujui damu yako inaishi vipi,inalala wapi,matibabu yake hujui pia,harafu kirahisi uletewe mtoto?....
 
wachagga hawakimbii watoto ata,akizaa nchi nzimaa anawatunza wote hata asipooa mama zao ila wenzetu makabila mengine mnakimbia watoto alafu mnarud wakikuaa stupid sana nyie.........

Kamanda, kuna wachaga wengine vimeo siku hizi mitaani acha kabisa. Wanajisifu tu kwenye baa "nina mtoto wangu wa kiume mahali tena ana akili kweli..." Matunzo hakuna.
 
Back
Top Bottom