Dodoma messengers JF-Expert Member Joined Aug 28, 2019 Posts 614 Reaction score 961 Feb 25, 2023 #121 wadiz said: Umemsahau Kitokesya Mzee wa vocabularies wa history watu A level combi za H nini nini huko Click to expand... Alifariki ghafla miaka ya kati ya 2005-2007.
wadiz said: Umemsahau Kitokesya Mzee wa vocabularies wa history watu A level combi za H nini nini huko Click to expand... Alifariki ghafla miaka ya kati ya 2005-2007.
Brain Kingdom JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 7,002 Reaction score 14,570 Feb 25, 2023 #122 ras jeff kapita said: Naijua mitaa yote hiyo. RFA kwa Mzee Tousir kwa kina Abedi yep sure kilikuwa kituo cha Redio but ww utakuwa nani navuta code ukinitajia exactly eneo ulilokuwa unakaa au rafiki yako wa karibu nitakusoma Click to expand... Ile barabara kuelekea RFA inatoka Meta stendi barabara ya hostel Magoma khaa enzi hizo
ras jeff kapita said: Naijua mitaa yote hiyo. RFA kwa Mzee Tousir kwa kina Abedi yep sure kilikuwa kituo cha Redio but ww utakuwa nani navuta code ukinitajia exactly eneo ulilokuwa unakaa au rafiki yako wa karibu nitakusoma Click to expand... Ile barabara kuelekea RFA inatoka Meta stendi barabara ya hostel Magoma khaa enzi hizo
Brain Kingdom JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 7,002 Reaction score 14,570 Feb 25, 2023 #123 Dodoma messengers said: Alifariki ghafla miaka ya kati ya 2005-2007. Click to expand... Alikuwa Mkali na kibesi Mzee wa kyela daah, vocabularies kama zote. Alikuwa ame expire akiwa Meta sijui kama wana walimfaidi
Dodoma messengers said: Alifariki ghafla miaka ya kati ya 2005-2007. Click to expand... Alikuwa Mkali na kibesi Mzee wa kyela daah, vocabularies kama zote. Alikuwa ame expire akiwa Meta sijui kama wana walimfaidi
Brain Kingdom JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 7,002 Reaction score 14,570 Feb 25, 2023 #124 Mrefu alikuwa anaitwa kumark paper za NECTA wazee wa HH walimfaidi sana
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,728 Reaction score 172,013 Feb 25, 2023 #125 Cheki walimu wanavoacha alama kwenye maisha yetu.....ila kuna mamtu humu kila dakika kutukana walimu kima kabisa
Cheki walimu wanavoacha alama kwenye maisha yetu.....ila kuna mamtu humu kila dakika kutukana walimu kima kabisa
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,666 Reaction score 11,759 Aug 2, 2025 #126 Evelyn Salt said: Cheki walimu wanavoacha alama kwenye maisha yetu.....ila kuna mamtu humu kila dakika kutukana walimu kima kabisa Click to expand... Umeone eeh. Walimu wanaacha alama sana kwa wanafunzi. Wengi tuko na careers tulizo nazo kwa sababu ya walimu hao hao!
Evelyn Salt said: Cheki walimu wanavoacha alama kwenye maisha yetu.....ila kuna mamtu humu kila dakika kutukana walimu kima kabisa Click to expand... Umeone eeh. Walimu wanaacha alama sana kwa wanafunzi. Wengi tuko na careers tulizo nazo kwa sababu ya walimu hao hao!
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 5,168 Reaction score 8,981 Aug 3, 2025 #127 ras jeff kapita said: Nilifuta baadhi ya maeneo hasa kwenye nyumba za watu na shule chata za kwenye mawe niliziacha Click to expand... wewe ndo chata lako lilikuwa kichwa cha jamaa kaning'iniza kitu kama msalaba kwenye sikio au?
ras jeff kapita said: Nilifuta baadhi ya maeneo hasa kwenye nyumba za watu na shule chata za kwenye mawe niliziacha Click to expand... wewe ndo chata lako lilikuwa kichwa cha jamaa kaning'iniza kitu kama msalaba kwenye sikio au?