Nawakumbuka sana walimu wa meta enzi hizo,mtefu,kabuje(mwl wa hostel),job,mwigune,kimatare(ndege John,Mwakyulu(gari moshi),Mwahuti(kibaki)..boyfriend (huyu alikuwa mwl wa physical geography),katamba,babu wa GS,(ha ha ha stand up u foolish woman,.....enz ya kina njegite badae bukuku na yule head girl wetu wa kinyarwanda.
Ivi kumbe team Meta tupo kibao ha ha , mtefu kwa taarifa ni marehemu, yumbayumba mzee wa zitanyasha ni marehemu, landi mzee wa chemistry ni marehemu. Dah list ni ndefu wengi tulishawapoteza
Umenikumbusha mbali sana unamwita 'mzee miwani' gari moshi.
kitambo xana nimekumbuka gate
pass
Yeah ni sahihi kabsa jamaa alshafariki. R I P Mtefu kwangu source alkuwa Gwimile juu ya huo msiba
japo simjui na hiyo shule siifaham but kwa sifa za huyo Mwakyulu nahisi ni huyu ninaemfaham ambae wakati nasoma pale Genesis High school alikuwa Headmaster.
Maskini Mtefu!!!!mkuu huyu mwalimu ameshafariki. R.I.P Mtefu
Alifariki nami niliambiwa kutoka kwa wadau wake wa karibu
Alishafariki tangu mwezi wa 7.
Ivi kumbe team Meta tupo kibao ha ha , mtefu kwa taarifa ni marehemu, yumbayumba mzee wa zitanyasha ni marehemu, landi mzee wa chemistry ni marehemu. Dah list ni ndefu wengi tulishawapoteza
Kumbe wa dau wa Meta mmejazana humu...Mtefu kweli amefariki....na babu upuyuu kwa walio soma History 1
Yeah ni sahihi kabsa jamaa alshafariki. R I P Mtefu kwangu source alkuwa Gwimile juu ya huo msiba
Mageta yule alishaga ninyima kipande system sikulipa ada mweee maisha haya[emoji22][emoji22][emoji22]Mbona hujamtaja john Mageta?
nasikia kapona, hatembelei tena gongo.Landi yupo Meta mzima wa afya
Simwaba yupoooo madevu kama kawanasikia kapona, hatembelei tena gongo.
Hivi Simwaba yupo?
Ni headmaster huyo kwa sasa , bt mtefu naskia alisUmenikumbusha mbali sana unamwita 'mzee miwani' gari moshi.
alikuwa anachapa makofi huyu mzee balaaMbona hujamtaja john Mageta?
Hahahaaaa alikuwa anafundisha mathematics O level huyo kama sikosei enzi hizo.Safi sana umenikumbusha hawa watu. Kuna Mwaigwisi mwaka '99 alitembezewa kichapo na wanafunzi assemble mchana kweupe, hivi sasa ni mchungaji..
Land mtaalam chemistry aisee ni miaka mingi sananasikia kapona, hatembelei tena gongo.
Hivi Simwaba yupo?