Namtafuta mtu anayetembea na mke wangu

Namtafuta mtu anayetembea na mke wangu

We mbona umeshindwa kumtia mimba The secretary ?

Erickb52 , umekuaje tena? Hii habari unakumbuka siku tumekaa kikao cha wababa wa chtcht, tukapitisha kwa kauli 1 kua itabaki kua siri tusimtangaze! Mbona tena umemsanua? Wkt bado tunamtafutia tiba ya kurutubisha mbegu.
Huoni umekiuka kolektivu responsibilitizi ?
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtafutwaji yupo jukwaa la mwisho kabisa......hakuna dau nono kwa mfanikishaji wa huyu jamaa kukamatwa?
 
Back
Top Bottom