Namtafuta mtu anayetembea na mke wangu

Namtafuta mtu anayetembea na mke wangu

Lol hapana piga hiyo wala tishia hiyo cos inakusaidia veve hii swahili ww unapga moja unalala yeye anasaidia veve hii <br />
<br />
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nini wewe indi. Sisi afrika napiga goli moji, mbili,tatu mpaka tano.
Indi napiga goli moja tu. Indi ikipiga tano nakufa
 
Pole mwaya, na mimi namtafuta anaenichukulia mume! picha yake ndio naichora nitatuma.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
C6 hufai aisee
Nilikuwa kwa uncle na uncle pasaka yote ukaotea aisee lol
Mi sitembei na mke wa mtu zaidi ya The secretary ambaye huwa nashtua Chocs akiwa hayupo!:A S shade:

sasa mkuu hukuniambia mie nilikuwa doro tu huku kikuyu. yani picha ya uncle bado inanijia kichwani na nnataka nikamsalimie ila naju ushamchimba biti
 
Last edited by a moderator:
we Erickb52 mbayaaa wewe, kumbe Chocs nae yumo, vizuri vyote vyako
 
Last edited by a moderator:
sasa mkuu hukuniambia mie nilikuwa doro tu huku kikuyu. yani picha ya uncle bado inanijia kichwani na nnataka nikamsalimie ila naju ushamchimba biti
Namba yake ni 0817547587
Mpigie aisee na ni member mzuri wa JF Heheheheheeee
 
Back
Top Bottom