Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,601
Objctiooooooooooooooooooonnnnnnnnnnnnnnnn
haiwezi teleza bana
nitakua makini sana
wakati wa m'binukizo!
haiwezi teleza bana
nitakua makini sana
wakati wa m'binukizo!
Objctiooooooooooooooooooonnnnnnnnnnnnnnnn
Mi sitembei na mke wa mtu zaidi ya The secretary ambaye huwa nashtua Chocs akiwa hayupo!:A S shade:
C6 hufai aisee
Nilikuwa kwa uncle na uncle pasaka yote ukaotea aisee lol
Mi sitembei na mke wa mtu zaidi ya The secretary ambaye huwa nashtua Chocs akiwa hayupo!:A S shade:
Teh sasa kama wanakosa pa kujiegesha kwanini wasije kwangu ambako kuna nafasi ya kutosha aisee
Hapa bado charminglady tu ndio hajahamia Airtel lol
kumbe we mwoga,ndoa tam eh Passion Lady?honey ni @judgement
ananichokoza ikabidi
ninyamazishe ki hivyo!
love uuuuuuu!
yashanifikia,niko mbioni kuchukua hatua kali liwe fundisho kwa wengine.
kopi: Chimbuvu
Huoni imemlaza hadi leo haonekani humu?
Heheheheee kitu kitumbo ndiiiiiiiiiiiiiii!
Mi nishakuzoea DEBE TUPU tu wewe huna lolote!consider yourself umeshuka mshipa!
nakuonea huruma sana Erickb52 kwa zahma inayokujia,ushawahi kuangukiwa ukuta?
kopi The secretary........erick soon atanjua bishanga ni nani dadadadadeki ccm oyeeeee
We mbona umeshindwa kumtia mimba The secretary ?hata sisimizi anatia mimba