Namtafuta huyu mrembo wajameni

Nenda Facebook kajaa kama pishi la mchele anitwa "somebody access" kaweka na pix zake nyingine.
 
Bishanga mwambie Kimbweka akwambe anataka nini nimekuja. kawali ya yote akwambie yeye huwa anatumia gia ngapi? na oil ya engine yake ni supu ya pweza ama ya ngisi? pia tela yake inavutwa kwa nini?

Ni drawbar trailer, Supu ni ya mawe kama kawa, oil ya engine ni mafuta ya mawese...!!! OOOoooh Asante gfsonwin kwa kujitokeza nilitaka nikupe na ile negative uliyoniachia mwaka 1991 ndo nilisafisha nikapata hii picture...!!! Gia zote naziingiza ipasavyo mpaka hiyo trailer inapaa juuuu.....kama rocket...!!!
 
wewe unAHAtARIIIIII
 
Wikipedia, Google, CTRL+F, Search, nk vinahusika,
Jaribu huko kaka!!
 
Morning chit chatters! Naona mmeianza cku kwa kutafutana, dada yangu wa moyoni kubali wito, lolest!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom