Namtafuta huyu kaka

Namtafuta huyu kaka

Huwezi kumpata kwa staili hii, maana hatujui kama nikwawema au kwa shali!
 
Ewe dada, c uweke wazi kuwa kakuzalisha kisha kakutelekeza ili tukusaidie kumsaka?
 
frank nimewasili hapa..
ila nimeshaoa na mchepuko juu !!
 
Mm namjua huyo dada wa mbele, kwani huyo jamaa kafanya nini baya?. Mkipata picha za watu mnazitumia vibaya sana
 
Anza Clinic Mara moja na Jiepushe na Pepo baya la kuichoropoa!

Inaonekana Mlikutana kwny Send off jamaa akahakiki 'vyeti' juu kwa juu!
Kichwa kikakatikia ndani..... alee tu hamna namna nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom