Speed of light
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 313
- 285
Mkuu nilichouliza ni kuweka picha ya mtu mwingine kwenye mitandao ya kijamii bila ya ridhaa yake ni sawa...? na sio picha yako ..Kama haujakwiba, kuchongolea mdomo waheshimiwa ama kula visivyolika, unakuwa na wasiwasi wa nini kuweka pua lako halisi humu?
Ndomaana kuna watu, comments zao zimeenda sana shule, lkn zinachusha kujibu kwa kuwa, kutoangalia sura ya mtu unayeongea nae ni sawa na kuongea na jini.
Tubadilike tuanze kuweka sura zetu halisi,kwakuwa cc ni raia wema tufaidi maisha. Kuweka picha za ajabuajabu kwenye avatar kunachusha kishenz.
ya kwako ni yako unaweka kadiri utakavyo mradi hutatizi hisia za wengine ....kama ambavyo mleta mada alivyofanya , kwa vile tunaficha majina yetu Halisi humu kuna uwezekano wa kutumia fursa hiyo kukashifiana na kuaibishana kwa kuwekeana picha hadharani kwa malengo yenye kuumiza hisia za wengine.. hata hivyo inaonekana mods wameliona hilo na kuinyofoa picha husika kwa sasa siioni ilikuwa inakera sana kuona hali hiyo, niikitizama mada nzima upande wa pili wa shilingi