Namtafuta huyu kaka

Namtafuta huyu kaka

ni tabia mbaya kuuza sura za watu na wewe kwanza hufai kuitwa binadamu je huko FB hujampata? marafiki zake je? au unatembeza uso? km unauza sura hebu jaribu kitoa sura za watu ubaki wewe tu. na sijui ndo mmepigia picha gari la lecture wenu tujue usafiri wenu. UMENIKERAAAAAAAA hata hao watu naahirisha kukujuza walipo.
Sorry if I'm wrong but shida yangu ni kubwa zaidi ya kuwa "wrong"
 
A
Namfahamu anaitwa Frank but kwao si Dar bali ni Rombo Mashati kuelekea Horiri usije changanya na Horohoro maana Horiri ipo Kilimanjaro na Horohoro ipo Tanga japo ukipita horiri/horohoro lazima tu utafika kwao rafiki ake mkuu yule oding alokuja chato ile ya geita wala si Mexico ambapo alikuja kumpa hi rafiki ake na kuhudhuria misa pale chato RC jirani kidogo na ile primary school alosoma mkuu yaani chato primary school kabla hajakwenda katoke seminary ile ya biharamulo wala si katoke ttc ile ya muleba karibu na kule ambapo ata wameshindwa kushushiwa bei ya vifaa vya ujenzi ili waweze kumudu gharama za ujenzi wa nyumba zao zilizoharibiwa na ile kitu wanaitaga disturbance ya epi center sijui ndo shake ya atmosphere ama ni kitu kingine mie sielewi ila serikali basi iwashushie bei ya vifaa vya ujenzi aisee.
Haaaaa dah jf raha sana, ujumbe umefika
 
nimelewa au?
 
Oyaa
 
Mimi namtafuta Dada mmoja aliwahi kusoma Euckenforde High School Tanga anaitwa Glory Sakaya, kwao ilikua Morogoro. Kama yupo au mnamfahamu nisalimieni sana, nimemtafuta hadi basi
Picha yake
 
Maybe,

Maybe, who knows
Hahahaa
ila mrembo una vimacho vya uchokozi vilivyojaa mahaba kiukweli umeulainisha moyo wangu mithili ya barafu kwenye joto kali.... naomba picha zako nyingine taafadhali au ninaweza kuja PM kwa maelezo zaidi
 
Unaficha nini?
1477161773989.jpg
mimi ni huyu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom