kauli yako moja toka huko juu "Kwa mtu mwenye kumjua ama mwenye mawasiliano naye naomba anisaidie, ni pm."Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo?
Ungenyoosha tu maelezo mapema thread isingefika mbali hivi angejitokeza.Naona kila mtu anadhani kuna tatizo, NO hakuna tatizo. Ukweli ni kwamba huyu mtu ndiye aliyenibikiri and since we lost each other sijawahi kufurahia mapenzi. I want him baaack
Wewe ni mwongo wa kutupwa. Huko hakuna sehemu inaitwa ''Horiri''.Namfahamu anaitwa Frank but kwao si Dar bali ni Rombo Mashati kuelekea Horiri usije changanya na Horohoro maana Horiri ipo Kilimanjaro na Horohoro ipo Tanga japo ukipita horiri/horohoro lazima tu utafika kwao rafiki ake mkuu yule oding alokuja chato ile ya geita wala si Mexico ambapo alikuja kumpa hi rafiki ake na kuhudhuria misa pale chato RC jirani kidogo na ile primary school alosoma mkuu yaani chato primary school kabla hajakwenda katoke seminary ile ya biharamulo wala si katoke ttc ile ya muleba karibu na kule ambapo ata wameshindwa kushushiwa bei ya vifaa vya ujenzi ili waweze kumudu gharama za ujenzi wa nyumba zao zilizoharibiwa na ile kitu wanaitaga disturbance ya epi center sijui ndo shake ya atmosphere ama ni kitu kingine mie sielewi ila serikali basi iwashushie bei ya vifaa vya ujenzi aisee.
Maisha magumu, anamtafuta mwenzie wa zamani ili wapigane jeki asiaibike mjini!!Mlikutana kwenye send off jamaa akahakiki.. Ina maana huko chuo mlisoma wawili? Na social media zote hizi? Lhaaa unatuchota sema ukweli
Huyo Dada ndio mtoa uzi/mtafutajiJf Raha sana.Sasa Mbona hujawacrop wengine. Au wote wanapenda kuuza Sura Jf??
Namfahamu anaitwa Frank but kwao si Dar bali ni Rombo Mashati kuelekea Horiri usije changanya na Horohoro maana Horiri ipo Kilimanjaro na Horohoro ipo Tanga japo ukipita horiri/horohoro lazima tu utafika kwao rafiki ake mkuu yule oding alokuja chato ile ya geita wala si Mexico ambapo alikuja kumpa hi rafiki ake na kuhudhuria misa pale chato RC jirani kidogo na ile primary school alosoma mkuu yaani chato primary school kabla hajakwenda katoke seminary ile ya biharamulo wala si katoke ttc ile ya muleba karibu na kule ambapo ata wameshindwa kushushiwa bei ya vifaa vya ujenzi ili waweze kumudu gharama za ujenzi wa nyumba zao zilizoharibiwa na ile kitu wanaitaga disturbance ya epi center sijui ndo shake ya atmosphere ama ni kitu kingine mie sielewi ila serikali basi iwashushie bei ya vifaa vya ujenzi aisee.
Ungenyoosha tu maelezo mapema thread isingefika mbali hivi angejitokeza.
Je ulikuwa unampa mauno ya kweli, au ndio wale wale wa kwenda kuogea nyumbani?
Baba ake Dundo_Boy anaujua mziki wangu, anahs kiuno changu hakina mfupaUngenyoosha tu maelezo mapema thread isingefika mbali hivi angejitokeza.
Je ulikuwa unampa mauno ya kweli, au ndio wale wale wa kwenda kuogea nyumbani?
Huyo kama namfahamu,na kaka yake nafanya nae kazi!...Ila picha haifunguki kwangu..Habari zenu wapendwa katika bwana,
Mie sie mwenyeji sana humu JF lakini nahisi nipo mahali sahihi.
Kuna rafiki yangu namtafuta anaitwa Frank, tulikutana Morogoro chuo cha afya na aliniambia kwao ni Dar japo kila tukifunga chuo alikuwa anaenda Dom kwa kaka yake ambaye anakaa Kisasa.
Kwa mtu mwenye kumjua ama mwenye mawasiliano naye naomba anisaidie, ni pm.
Picha yake hii hapa
![]()
Wanawake hawaulizagi majina mpaka unamtia mimba ndio utasikia sasa honey hivi unaitwa nani vile.Hukumbuki anaitwa frank nani?