Hahahaha,Namfahamu anaitwa Frank but kwao si Dar bali ni Rombo Mashati kuelekea Horiri usije changanya na Horohoro maana Horiri ipo Kilimanjaro na Horohoro ipo Tanga japo ukipita horiri/hororo lazima tu utafika kwao rafiki ake mkuu yule oding alokuja chato ile ya geita wala si Mexico ambapo alikuja kumpa hi rafiki ake na kuhudhuria misa pale chato RC jirani kidogo na ile primary school alosoma mkuu yaani chato primary school kabla hajakwenda katoke seminary ile ya biharamulo wala si katoke ttc ile ya muleba karibu na kule ambapo ata wameshindwa kushushiwa bei ya vifaa vya ujenzi ili waweze kumudu gharama za ujenzi wa nyumba zao zilizoharibiwa na ile kitu wanaitaga disturbance ya epi center sijui ndo shake ya atmosphere ama ni kitu kingine mie sielewi ila serikali basi iwashushie bei ya vifaa vya ujenzi aisee.
Anza Clinic Mara moja na Jiepushe na Pepo baya la kuichoropoa!
Inaonekana Mlikutana kwny Send off jamaa akahakiki 'vyeti' juu kwa juu!

Duuh! I'm serious you knowNamfahamu anaitwa Frank but kwao si Dar bali ni Rombo Mashati kuelekea Horiri usije changanya na Horohoro maana Horiri ipo Kilimanjaro na Horohoro ipo Tanga japo ukipita horiri/horohoro lazima tu utafika kwao rafiki ake mkuu yule oding alokuja chato ile ya geita wala si Mexico ambapo alikuja kumpa hi rafiki ake na kuhudhuria misa pale chato RC jirani kidogo na ile primary school alosoma mkuu yaani chato primary school kabla hajakwenda katoke seminary ile ya biharamulo wala si katoke ttc ile ya muleba karibu na kule ambapo ata wameshindwa kushushiwa bei ya vifaa vya ujenzi ili waweze kumudu gharama za ujenzi wa nyumba zao zilizoharibiwa na ile kitu wanaitaga disturbance ya epi center sijui ndo shake ya atmosphere ama ni kitu kingine mie sielewi ila serikali basi iwashushie bei ya vifaa vya ujenzi aisee.
Kwahiyo wewe ni huyu mdada?Habari zenu wapendwa katika bwana,
Mie sie mwenyeji sana humu JF lakini nahisi nipo mahali sahihi.
Kuna rafiki yangu namtafuta anaitwa Frank, tulikutana Morogoro chuo cha afya na aliniambia kwao ni Dar japo kila tukifunga chuo alikuwa anaenda Dom kwa kaka yake ambaye anakaa Kisasa.
Kwa mtu mwenye kumjua ama mwenye mawasiliano naye naomba anisaidie, ni pm.
Picha zake hizi hapa, huyo wa katikati mwenye wei kwa nywele