Namtafuta Castory Paul aliemaliza Ilboru Secondary mwaka 2004

Huyo Jamaa Uncle John Mpishi alikua hasomeki fresh hivi kama simu yake inashika mnara,Kuna mdau kanikumbusha BUJUNJU lol Jamaa alikuwa na mwili mkubwa kono gogo fua jumba baunsa la nguvu kumbe alikuwa form 3 lol

Yaani ukiwa na urafiki na Uncle John utapewa kitei safi pamoja na zile mboga za wagonjwa...."Hivi we mtoto, umekura kweri wali, hebu njoo nikupakurie", yaani ukishasikia hivyo sanuka maana hata samvu utaombwa ulionje.
Bujunju, Majogoro, Maduhu Madoba hayo majina yalikua yakiniacha hoi sana dah.
 
Huyo Jamaa Uncle John Mpishi alikua hasomeki fresh hivi kama simu yake inashika mnara,Kuna mdau kanikumbusha BUJUNJU lol Jamaa alikuwa na mwili mkubwa kono gogo fua jumba baunsa la nguvu kumbe alikuwa form 3 lol

King kong nahic wewe ulikuwa na akina MOSES MWIZARUBI TO.
 
Haya mpeni jibu True love..naona mgeuza genge la kupiga stori.

Nilitaka ku comment hivyo hivyo. Wamebaki kujuliana hali kwenye thread ya mwenzao anayemtafuta ndugu yake
 
Hahahahaaaaa inawezekana tulimaliza Class moja,We ndio ulipata A Tisa au A 10? Hahaaaa mie ndio nilikuwa nimeweka Bill ya muhula mzima canteen ya dereva pale opposite na ilboru lodge maana ile kande nyama na ugali wa panya ulikuwa haupiti,Da sijaenda long tym xul langu sijui kama anna bado anauza maana kuna watu pale ulikuwa uwakosi dukani wakipiga nae story au mabrazameni kibao wanatoka Room 6 au Kibo wanaenda kuuza nyago Rungwe lol
mbona mmetoka nje ya mada, msaidieni huyo ndugu anayemtafuta jamaa yake, you never know. nahisi karibu anapatikana! hahahaha.
 
mbona mmetoka nje ya mada, msaidieni huyo ndugu anayemtafuta jamaa yake, you never know. nahisi karibu anapatikana! hahahaha.
Haya mpeni jibu True love..naona mgeuza genge la kupiga stori.

Nilitaka ku comment hivyo hivyo. Wamebaki kujuliana hali kwenye thread ya mwenzao anayemtafuta ndugu yake

kashapata mtu wa kumsaidia...hizi nyingine huku chini ni porojo tu za Ilborians ambao once walikua wanaitwa kwa scientific name Ilboriasis Bundiata

Mkuu umenikumbusha mbali sana. huyu jamaa tulisoma naye kidato kimoja. Rafiki zake wengine ni kina Msadiko, Raimos, Majaliwa, Bujunju na wengineo. Nina namba ya Bujunju lakini haipatikani kwa muda... ngoja nikutafutie contacts then nitaku PM.

Asante.
 
853745_CDocuments_and_Settingsobunna_collinsmy_documentsMy_Pictures185863_jpg614f4758731e247d6d.jpeg

uyu apa,namfahamu ukitaka contact zake nipm
 
pia Ilboru Secondary school wana group sijui jina lake kisawasawa ila ina anza na jina lashule kwa hiyo unaweza search unaweza kuta yuko huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom