Namtafuta Castory Paul aliemaliza Ilboru Secondary mwaka 2004

Namtafuta Castory Paul aliemaliza Ilboru Secondary mwaka 2004

Mkuu umenikumbusha mbali
sana. huyu jamaa tulisoma naye kidato kimoja. Rafiki zake wengine ni
kina Msadiko, Raimos, Majaliwa, Bujunju na wengineo. Nina namba ya
Bujunju lakini haipatikani kwa muda... ngoja nikutafutie contacts then
nitaku PM.

Asante.

Bujunju,cku ya kwanza namuona nikajua 4m6 kumbe 4m4 wapi Mukhusin Hussein?Dah kitambo sana..!
 
Dah kaka umenikumbusha mbali mno, nakumbuka kipindi hicho mtu ulikuwa unaenda dukani hata kama huna cha kununua, kisa umwone Anna alivyo. Halafu alikuwa anawatega mpaka kina Msung* mzee ukienda dukani tu huchelewi kubambikiziwa kosa.

Ulikua mzigo wa Shembilu(R.I.P) ule...na jamaa mwingine alikua anaitwa Mrisho aka top four Chai wa misosi na bwalo
 
Losujaki R.I.P

Dah..!Kumbe Chief kafariki?Namkumbuka sana hasa sikuile alipowakuta wa2 wamechelewa kuamka akawatoa na magodoro yao na kuwalaza barade,da sote ni wake na kwake tutarejea..!
 
Bujunju,cku ya kwanza namuona nikajua 4m6 kumbe 4m4 wapi Mukhusin Hussein?Dah kitambo sana..!

Mukhusin Hussein mzee wa kayamba.

alivyomaliza form 4 akamrithisha dogo flan hivi. Bakuli ya uji kama kisadolini... Duh!
 
Mukhusin Hussein mzee wa kayamba.

alivyomaliza form 4 akamrithisha dogo flan hivi. Bakuli ya uji kama kisadolini... Duh!

Namkumbuka dogo flani mfupi hivi jina limenitoka,da safi sana Ilboru aka center of Intelligence.
 
Losujack Ole Ngavuti(Rip) alikua mwalimu wangu wa history bhanaa...bila shaka nawe mkuu ni zao la Kitemango?

Yap mkuu...Shembilu (RIP), Mama Mkwizu, Kiringo, Mushi etc...the best place ever!!
 
Mhh hao watatu wa mwisho
nilikua sijajua kaka...Mushi si ndio yule mwalimu wa Language A-Level
alikua anaishi pembeni kidogo ya court ya kikapu?

Yaa hujakosea mkuu upo sahihi sana tu.
 
we chalii nahisi tulikua class moja...hahahah

Huyu atakua labda ni yule Anna muuza duka lile la kontena pale Rungwe....au atakua mtoto wa Mama Tony

hahaha,kumbe wamenye mpo wengi humu,nahisi pia tulikua same yr hapo kwa kitemango
 
hahaha,kumbe wamenye mpo wengi humu,nahisi pia tulikua same yr hapo kwa kitemango

Class of 1998-01....
Kama hujasoma katika hiyo period basi hatukuwa class moja!!

hahaha,kumbe wamenye mpo wengi humu,nahisi pia tulikua same yr hapo kwa kitemango

Tupo mkuu na kuna uzi maalum kwa watu wa Ilboru..."ilboriasis bundiata"
 
hahahaaaa....! Anna aliondokaga kitambo sana. nadhani ni mwaka 2003. Baadae duka alikodishiwa uncle john akawa analipa kodi shule.

Huyo Jamaa Uncle John Mpishi alikua hasomeki fresh hivi kama simu yake inashika mnara,Kuna mdau kanikumbusha BUJUNJU lol Jamaa alikuwa na mwili mkubwa kono gogo fua jumba baunsa la nguvu kumbe alikuwa form 3 lol
 
mikwala mingi. walikua wanaharibiwa na nondo za shule. mia
 
Naona Ilboru wamekutana. Kuna wa jangwani au forodhani humu jamani na sisi tupige story zetu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom