Namtafuta Best angu nilisomanae CBE

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Mimi ni mdau wa JF naomba kama kuna mtu ana namba ya RAfiki angu anaitwa Joyce Yacob MSanga nilisoma ne CBE please Contact zake nimeibiwa simu last week please aliyekuwa nayo na email kama pia anayo please msifikirie vibaya

Kama hujui please muulize mwenzako
 
Mimi ni mdau wa JF naomba kama kuna mtu ana namba ya RAfiki angu anaitwa Joyce Yacob MSanga nilisoma ne CBE please Contact zake nimeibiwa simu last week please aliyekuwa nayo na email kama pia anayo please msifikirie vibaya

Kama hujui please muulize mwenzako[/QUOTE]

Hujui anakofanya kazi au anakoishi? I think you are not serious unatuambia sisi kama hujui please muulize mwenzako iweje wewe huulizi classmates zako wa CBE?
 
Kaolewa,kama unashida ya kawaida tu sema nimwombe contacts mume wake then nikupe.
 
Hii kali mwana inamaana hadi email yake umeibiwa au imepotea? Acha kuleta udaku wako hapa!
 
Nashukuru Konzogwe sasa wewe nipe basi mail au namba ya mume wake kwani huyu ni friend wa kawaida tu na sio love friend ok please wewe nipe contact yoyote naweza kumpata email yangu walihack watu sasa nimefungua ingine ndo maana nakosa mawasiliano nae na mimi huku nipo UK nakosa mawasiliano na mabest zangu maana kila kitu niliacha Bongo namba za Simu please best nitumie au mpe mail yangu frankrwegoshora@yahoo.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom